Godbless Lema ampongeza Kitila Mkumbo

Sasa kwanini yeye alimkandia sana Mbowe alipokwenda kushiriki uzinduzi wa dira ya maendeleo kama yeye anatambua kwamba siasa sio uadui. Kwa ku*ya a*ye kuku ila aki*ya bata anachafua mazingira.
 
Lema ana marafiki wengi tu ndani ya ccm. Lkn pia siyo ajabu Kitila Mkumbo kupongezwa na Lema kwakuwa awali Mkumbo alikuwa chadema
Lakini Lema aliwachomea Kitila,Zitto na yule jamaa wa Arusha kuhusu waraka wao hadi wakafukuzwa chama na Mbowe
 
Sasa kwanini yeye alimkandia sana Mbowe alipokwenda kushiriki uzinduzi wa dira ya maendeleo kama yeye anatambua kwamba siasa sio uadui. Kwa ku*ya a*ye kuku ila aki*ya bata anachafua mazingira.
Aisee
 
πŸ™‹βœοΈπŸŽ―πŸ‘πŸ€πŸ™πŸ›‘οΈ
 
Kuwa mpinzani sio uadui. Watu wapingane kwa hoj. Hapo ndipo Tanzania tuna feli. Chuki zote tunazoziona kati ya chama tawala na upinzani ni hiyo hali ya kukosa tafsiri halisi ya UPINZANI. Huku watu walio wengi wakiamini kuwa upinzani ni uadui . Na kutoka hilo eneo la uelewa itatuchukua miaka mingi sana labda karne hii iishe . Mungu tusaidie
 
Lema ni Mmachame halisi, kama ambavyo Mbowe aliwapiga na Lema atawapiga hivyo hivyo.

Tone tone mkusanyaji ni Lema, shangaeni tu na slogan mnazopewa ambazo haziwezi kutimizwa. Eti No reform πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…