Godbless Lema amnyooshea kidole Mwigulu Nchemba

Godbless Lema amnyooshea kidole Mwigulu Nchemba

Ndo tuseme chochote kitakachoongewa na MTANZANIA ambaye sio SISIEMU hakinaga mantiki Jiongeze braza huwa nakuheshimu sana ila itikadi isikufanye ujitoe ufahamu period!.
Umempa ushauri mzuri sana mkuu
 
Nakuomba tu mleta hoja ubadili kichwa cha habari. Nilikimbilia haraka nikidhani kuwa Mh. Lema kamtusi tena Waziri wetu mteuliwa ka Sugu alivyo watusi wabunge wa ccm jamani. Kumbe alimpa ushauri mzuri hivyo! Dah! Naomba uandike kichwa cha habari vizuri. Usimfanye mama Tuli akampokonya point za kuchaguliwa tena na Wana AR.
 
Umempa ushauri mzuri sana mkuu
Nchi hii ni yetu sote hatuhitaji siasa za chuki.Tunahitaji siasa za upendo na maendeleo. Wananchi hatutegemei siasa ila siasa inatutegemea sisi hatahivyo wananchi hatutegemei serikali ila serikali inajivunia wananchi wake.
 
Nchi hii ni yetu sote hatuhitaji siasa za chuki.Tunahitaji siasa za upendo na maendeleo. Wananchi hatutegemei siasa ila siasa inatutegemea sisi hatahivyo wananchi hatutegemei serikali ila serikali inajivunia wananchi wake.
Sawa sawa ndugu tumekusoma kabisa
 
Waziri kivuli wa Mambo ya Ndani ameshindwa kutatua fumbo la mlipuko wa mabomu soweto, useless MP..

Usitake nicheke aisee, unasema waziri kivuli kashindwa wakati hana taasisi zinazoweza kumpa ushirikiano. Nakumbuka wakati Kamishna Chagonja alipokwenda Arusha kufanya maigizo ya kumtafuta mtu wa mlipuko wa soweto, kweli ndio nilijua sisi waafrika ni janga. Eti anakaa ofisini anangojea cdm wampe taarifa ya mlipuko huku wakipita mahospitalini kuhamisha majeruhi wa bomu lile, yaani ilikuwa ni kituko cha mwaka.
 
Lema hazungumzii kabisa ujambazi uliokithiri au kwa sababu na yeye ana kashfa ya wizi wa magari

Ujambazi uliokithiri wapi? Maana kama ni arusha hakuna ujambazi uliokithiri na hata kama ungekuwepo yeye asingekuwa na la kufanya kwani sio anayewapa amri polisi ya kusaka majambazi. Hilo la uwizi wa magari ni propaganda zilipendwa.
 
Back
Top Bottom