Godbless Lema amnyooshea kidole Mwigulu Nchemba

Godbless Lema amnyooshea kidole Mwigulu Nchemba

Huko Mwigulu asipoangalia .......... ndoto zake za Urais zitaishia huko huko!!!
 
Waziri kivuli wa Mambo ya Ndani ameshindwa kutatua fumbo la mlipuko wa mabomu soweto, useless MP..
 
Waziri kivuli wa Mambo ya Ndani ameshindwa kutatua fumbo la mlipuko wa mabomu soweto, useless MP..
Mwigulu afadhali aje atatue hili wimbi la ujambazi na la mauaji ya watu,pia atatue issue ya lugumi
 
Naona kama vile kuwa mbunge wa upinzani kunamfanya mtu kuwa na uwezo mkubwa sana wa akili. Maana kuupata tu unapambana na taasisi nyingi na vichwa vingi
 
Back
Top Bottom