Godbless Lema aliomba bunge kutunga sheria ya kuweka ukomo wa Upelelezi kwa jeshi la polisi dhidi ya kesi za washitakiwa

Hoja hii inaweza kuwa nzuri lakini swala happy sio kupiga kelele Bali ni kitafuta namna ya kuleta mapendekezo ya mabadiliko ya hiyo sheria ya upelelezi was makosa ya jinai. So Kila mbu he no mtunha sheria? Hata yy kwa mujibu was sheria ana uwezo wa kifanua marekebisho ya vifungu au sheria. Asome na kufuata taratibu za kosheria za kutunha au kurekebisha sheria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili jambo ni muhimu sana , Corona isiwe kichaka cha kuficha mambo mazuri
 
Back
Top Bottom