Godbless Lema Akamatwa Na Jeshi La Polisi Nje ya Ukumbi wa Bunge

Mh GODBLESS J LEMA (MB) wa Jimbo la Arusha Mjini amekamatwa muda huu nje ya ukumbi wa Bunge na Jeshi la Police tayari kurudishwa Arusha
 
Habari iliyonifikia Mdaa Huu Kutokea Dodoma zinasema Mh GODBLESS J LEMA (MB) wa Jimbo la Arusha Mjini amekamatwa muda huu nje ya ukumbi wa Bunge na Jeshi la Police tayari kurudishwa Arusha usiku huu.

Haijafahamika Mpaka sasa hivi kisa cha kukamatwa
Hii nchi tunakoelekea siyo
 
Habari iliyonifikia Mdaa Huu Kutokea Dodoma zinasema Mh GODBLESS J LEMA (MB) wa Jimbo la Arusha Mjini amekamatwa muda huu nje ya ukumbi wa Bunge na Jeshi la Police tayari kurudishwa Arusha usiku huu.

Haijafahamika Mpaka sasa hivi kisa cha kukamatwa
Wewe unajifanya hujui!! Kuna uzi niliuweka humu asbh wakautoa wakadhani wananikomoa sasa yamekuwa
 
We
Nyie kweli malofa. Kama polisi kazi yao ni hiyo tu, je juzi alipotaka kuvamiwa na majambazi hiyo Lema wenu ni bavicha waliopambana na wale majambazi? Machadema akili zenu sawa na za ng'ombe.
wewe unahuhakika gani kama walikuwa majambazi? Kumbuka yule mkuu aliyeuliwa Moshi miaka iyoo na watu haooooooo akili mkichwa
 
Hii ndio kazi wanayoiweza huku uchumi unaporomoka!
unataka polisi wainue uchumi?juzi alikimbilia kituo cha polisi kufanya nini me sikumbuki?yaani kwa vile mna muunga mkono basi akikamatwa kaonewa,amkeni huyu jamaa ni msanii anatafuta kiki maana hakuna kingine sasa hivi serikali inayafanya yote waliyolalamikia hata kama ni kwa kiasi kidogo,sasa wanataka kupinga tu for the sake of it,acha akajibu alichokamatiwa!ubunge gani wa mahakamni na polisi kila siku,tunahitaji maendeleo sio kuonyesha ubabe usifiwe na watu ambao unawawakilisha.
 
Back
Top Bottom