Godbless Lema akatazwa kupiga kampeni Arusha Mjini

Godbless Lema akatazwa kupiga kampeni Arusha Mjini

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,346
Reaction score
26,138
Katika hali isiyo ya kawaida,mgombea wa Ubunge kupitia CHADEMA/UKAWA jimbo la Arusha Mjini,Godbless Lema amekatazwa kupiga kampeni za ubunge. Wananchi wa Arusha Mjini wametoa katazo hilo kwakuwa Lema hana upinzani unaoonekana na hivyo hana haja ya kukampeni.

Wananchi wake wamemtaka Lema kuokoa rasilimali zake za fedha na muda. Lema ameruhusiwa tu kuwapigia kampeni wagombea wa chama chake katika ngazi ya Udiwani. Mgombea wa CCM anaendelea na kampeni zake huku Lema akisubiri kupigiwa kura zake za vema hapo Oktoba 25.

Wananchi hapa Arusha Mjini wanasema Lema atatunzwa kwa mema na harakati zake. Hana haja ya kuhangaika. Ni hayo tu kwa leo.
 
Asante kwa taarifa nzuri. Hata sisi majira wa lema tulimwahidi hatutamrudisha chambiri mjengoni
 
Huku Kata ya Sombetini CCM Jana Usiku Kwenye Campaign zao za Gizani wametwangana Kwa Kusalitiana na Kudhurumiana Mirungura..Wamesambaratika Vibaya.
 
Wanajua wana arusha alichowafanyia! Ww au unataka kukuambia wana arusha hawajitambui,siamin hivyo viva LEMA
 
unaishi Arusha tangu mwaka gani? kama umekuja leo itakua tatizo kuona!!
 
Hivi mtu anajiita mwanasheria halafu anadanganya umma waziwazi.

Nilidhani utakuja na analysis ya kisomi juu ya hali ngumu imayomkumba lema Arusha.

Wa
 
Asante kamanda kwa taarifa.......
mtaani kwetu CCM wamegoma kuweka diwani.........hatuna mgombea wa CCM kabisa...........Sijui shida ni nini.........

ni dalili mbaya sana chama tawala kinapoanza kukosa wagombea............
 
Back
Top Bottom