Godbless Lema Agombee Urais

Godbless Lema Agombee Urais

Hana vigezo vya kuwa raisi.
 
Uraisi wa nini (1) Vyama vya michezo, (2) NGO, (3) Pioneering unrest.....fafanua.
 
NI wazo ka kila mwana siasa kuwa Rais siku moja, time will tell.
 
nahc wew utakuwa kat ya wale watu waliokuwa wanavunja vioo vya madereva waliokuwa wanakataa kugoma.,.mwambie aache bang anaweza akawa m/kit wenu lkn co rais
 
ziko nafasi kubwa tu zinaweza kumfaa Lema lakini sio Urais... anafaa kua waziri wa mambo ya ndani lakini sio ukuu wa dola.
 
ziko nafasi kubwa tu zinaweza kumfaa Lema lakini sio Urais... anafaa kua waziri wa mambo ya ndani lakini sio ukuu wa dola.

Kama anaweza kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani kwa nini asiwe Rais? Mkuu naona una mashaka na uwezo wake huyu jamaa!
 
Si kila anayefanya vema ngazi ya chini anafaa ama anaweza kuperform ngazi ya juu.

Kwa kumlinganisha na JK sawa lakini kwa maana ya Urais wa nchi Lema hafikii kimo
 
Back
Top Bottom