Godbless Lema Agombee Urais

nahc wew utakuwa kat ya wale watu waliokuwa wanavunja vioo vya madereva waliokuwa wanakataa kugoma.,.mwambie aache bang anaweza akawa m/kit wenu lkn co rais

Sasa na hawa wanaovuta bangi mchana kweupe watakuwa wanavuta nini?
 
Si kila anayefanya vema ngazi ya chini anafaa ama anaweza kuperform ngazi ya juu.

Kwa kumlinganisha na JK sawa lakini kwa maana ya Urais wa nchi Lema hafikii kimo

Ngazi ya chini huyu Lema amefanya lipi zuri zaidi ya migogoro ya kila siku? Hamna Kiongozi yoyote wa CDM mwenye charisma ya uongozi kama JK!!
 
Kwani kuwa Rais kutoa lecture darasa usemi ni lazima mtu asomee kitu flan, Rais ni mtu yeyote bora awe na watendaji wazuri na wenye utaalam wa kutosha. Urais sio professinal
 
Kwani kuwa Rais kutoa lecture darasa usemi ni lazima mtu asomee kitu flan, Rais ni mtu yeyote bora awe na watendaji wazuri na wenye utaalam wa kutosha. Urais sio professinal

Teh teh majambazi ndio watakuwa usalama wa taifa
 
Wakuu,

Natumaini Lema atagombea Urais wa Nchi Yetu Mwaka 2015 na Watanzania Wote tutamuunga Mkono.
 
Back
Top Bottom