Godbless Jonathan Lema

Katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ibara ya 67;- (1) (a) - (c) Sifa za mtu kuwa Mbunge Sheria ya 1984 Na.15 ib.13 na sheria nyingine za mwaka 1992, 1994, 1995 na 2000 ambazo pia zimefafanuliwa katika ibara ya 67;- (2) (a) - (h) na pia pamoja na masharti ya ibara ya 71;- (1) (a) - (g) zinasema;

67;- (2)(c) ikiwa mtu huyo amehukumiwa na Mahakama yoyote katika Jamhuri ya Muungano na kupewa adhabu ya kifo au ya kufungwa gerezani kwa muda unaozidi miezi sita kwa kukutwa na hatia ya kosa lolote, vyovyote linavyoitwa, linaloambatana na utovu wa uaminifu;

Hivyo; Bado Godbless Jonathan Lema ni mahabusu, anatuhumiwa.., siyo mfungwa (hakuna mahakama yoyote ambayo imemtia katika hatia).., Jamhuri kupitia mawakili wake inafahamu/wanafahamu kabisa kwamba, kwenye kesi inayomkabili Lema, hakuna Shauri la msingi, na kama kesi ikianza kusikilizwa mfululizo, jamhuri itaangukia pua mapema kabisa, hakuna kesi pale.., na ndiyo maana jamhuri inatumia loop of law-technicalities kumzungusha kwenye dhamana yake ya msingi...,

..., nimefikiri na kuandika hivyo.., ingawa, watu hawa hawashindwi kufanya watakavyo kuhusu jambo hili.., wanaweza kumtia Lema hatiani (kwa lazima) ili tu Lema asirejee kuwa mbunge wa Arusha mjini.., maana huyu ni 'kikwazo kwao'.., sioni namna CCM wakipata jimbo la Arusha mjini hata kama wakisimamisha mwenyekiti wao wa taifa katika jimbo hilo kuwa mgombea..,

NB; Kwa upande wa CCM.., wako radhi yoyote kutoka chama chochote awe mbunge wa Arusha mjini.., lakini siyo Lema.., i can assure you.., hawampendi Lema from the deepest part of their heart!
Ngoja nipate bia mbili ingawa hali ya mfuko sio nzuri nipate akil ya kurud tena

Martin Maranja Masese (MMM)
Nlijua tu kwa andiko hili lazma utakua mlevi wa gongo,endelea kulewa mataputapu acha wenye akili wafanye yao kibaka mwenzio akirejea uraiani atakua keshapata akili
 
Kwa nini sasa mawakili wa Lema wanasumbuana kwenye dhamana? Kwa nini wasingemuacha ndani ili kesi ya msingi isikilizwe mapema??
Mawakili kukata rufani ili Lema apatiwe haki yake ya kikatiba (mdhamana) hii haibadilishi tarehe ya Kesi ya msingi.

Kesi ya msingi imepangwa kusikilizwa mwezi wa pili nadhani tarehe 14.
 
Katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ibara ya 67;- (1) (a) - (c) Sifa za mtu kuwa Mbunge Sheria ya 1984 Na.15 ib.13 na sheria nyingine za mwaka 1992, 1994, 1995 na 2000 ambazo pia zimefafanuliwa katika ibara ya 67;- (2) (a) - (h) na pia pamoja na masharti ya ibara ya 71;- (1) (a) - (g) zinasema;

67;- (2)(c) ikiwa mtu huyo amehukumiwa na Mahakama yoyote katika Jamhuri ya Muungano na kupewa adhabu ya kifo au ya kufungwa gerezani kwa muda unaozidi miezi sita kwa kukutwa na hatia ya kosa lolote, vyovyote linavyoitwa, linaloambatana na utovu wa uaminifu;

Hivyo; Bado Godbless Jonathan Lema ni mahabusu, anatuhumiwa.., siyo mfungwa (hakuna mahakama yoyote ambayo imemtia katika hatia).., Jamhuri kupitia mawakili wake inafahamu/wanafahamu kabisa kwamba, kwenye kesi inayomkabili Lema, hakuna Shauri la msingi, na kama kesi ikianza kusikilizwa mfululizo, jamhuri itaangukia pua mapema kabisa, hakuna kesi pale.., na ndiyo maana jamhuri inatumia loop of law-technicalities kumzungusha kwenye dhamana yake ya msingi...,

..., nimefikiri na kuandika hivyo.., ingawa, watu hawa hawashindwi kufanya watakavyo kuhusu jambo hili.., wanaweza kumtia Lema hatiani (kwa lazima) ili tu Lema asirejee kuwa mbunge wa Arusha mjini.., maana huyu ni 'kikwazo kwao'.., sioni namna CCM wakipata jimbo la Arusha mjini hata kama wakisimamisha mwenyekiti wao wa taifa katika jimbo hilo kuwa mgombea..,

NB; Kwa upande wa CCM.., wako radhi yoyote kutoka chama chochote awe mbunge wa Arusha mjini.., lakini siyo Lema.., i can assure you.., hawampendi Lema from the deepest part of their heart!
Ngoja nipate bia mbili ingawa hali ya mfuko sio nzuri nipate akil ya kurud tena

Martin Maranja Masese (MMM)
don't be so sure. godbless lema anaweza kua mfungwa so soon.
 
Simple, the court today seems to be running away from its noble work "construction of the law" and some of these laws just requires literal construction, is the offense bailable yes or no, for those that are non bailable have been mentioned already.

Sasa why holding this poor mwananchi for a petty offense that can easily be granted bail?

Certainly we are just waiting the wisdom of this Highest Judicial Body in the land to try and learn as to whether we are only remain with one pillar of State..., let us wait and see..
 
Kwani kuna mtu kasema Lema amepoteza sifa za ubunge?
Maana umeanza kukariri vifungu vya katiba from no where!
Unachokiwaza wewe ndiyo anachokiwaza Lema na inawezekana ukawa ndiye Lema mwenyewe.
Kibri na ubinafsi umekutesa sana hadi umegeuka mnyonge. Tukana matusi upendavyo,bila kujali unayemtukana ana haiba gani katika jamii. Wewe ndiye wewe,si ndiyo?
Ulijisadikisha kwamba ukihiyo wako wa sheria, utakusaidia sana kuzishika na kuzichezea ndevu za simba dume bila madhara yoyote kukutokea.
Ukaweka mawakili uliowaona mahiri, sasa kiko wapi?
Ni mawakili mbumbumbu kiasigani wakashindwa kuelewa kifungu cha sheria ya dhamana na ukaanza kula shubiri kabla ya kesi yenyewe?
Wamekusaliti ama ni mamluki wa serikali?
Pia katika mawazo yako ukajisadikisha ushindi wa kesi.
Kwamba pindi watakapotaka kukukaba kisheria, utawakwamisha na swali moja tu la kitoto, kuwauliza kuwa wanakuthibitishiaje hayo uliyoropoka yaliwalenga wao? Tena muda huo wanaohangaika kuuliza maswali yasiyo kichwa na miguu ni mawakili, wakati wewe unasoma gazeti umepumzika.
Sasa umekwama kwenye tope jingi. Unapotapatapa kujinasua, unasaidia kujizamisha
Umeona ng'ombe alivyomgeukia mchungaji wake?
Utakuja kurudia kutukana na kujivika unajimu wa kutabiri vifo vya wenzio wakati vya kwako hapana?
Sheria ni kama mchezo wa drafti unaweza kufunga ama kufungwa huku ukiwa umeshikilia kete zako mkononi, si ya kutegemea sana, bali matendo mema ndiyo yatakayokuweka mahali salama.
Kwa kadhia hii, nyea debe mheshimiwa, ili utakapotoka Kisongo, utakuwa mwanasiasa mzuri mwenye haiba ya kiongozi mwadilifu, ili sisi raia tujifunze na kuiga toka kwako, mawazo yako na matendo yako.
Hakuna raia anayeunga mkono siasa za maji taka. Tunataka siasa za maendeleo.
Wanaokuunga mkono kwa mambo hayo, wanamushikeri.
Ukiwauliza nini wanachokuungia mkono?
Sanasana utakachokutana nacho katika majibu yao ni masuala ya ukabila na ukanda, hakuna chochote kingine cha maana.

Sakasaka Mao umenena vizuri sanaaaaa tu
Avatar yako inaonyesha wee mlafi sana mkuu ha ha
 
Simple, the court today seems to be running away from its noble work "construction of the law" and some of these laws just requires literal construction, is the offense bailable yes or no, for those that are non bailable have been mentioned already.

Sasa why holding this poor mwananchi for a petty offense that can easily be granted bail?

Certainly we are just waiting the wisdom of this Highest Judicial Body in the land to try and learn as to whether we are only remain with one pillar of State..., let us wait and see..

Jaji mfawidhi
Lema is not the only "mwananchi" who is jail.
Our sheikh are still in jail and no one seems to care.BUT I don't have 7M to talk about.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom