Aventus
JF-Expert Member
- Mar 8, 2013
- 2,011
- 2,165
Katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ibara ya 67;- (1) (a) - (c) Sifa za mtu kuwa Mbunge Sheria ya 1984 Na.15 ib.13 na sheria nyingine za mwaka 1992, 1994, 1995 na 2000 ambazo pia zimefafanuliwa katika ibara ya 67;- (2) (a) - (h) na pia pamoja na masharti ya ibara ya 71;- (1) (a) - (g) zinasema;
67;- (2)(c) ikiwa mtu huyo amehukumiwa na Mahakama yoyote katika Jamhuri ya Muungano na kupewa adhabu ya kifo au ya kufungwa gerezani kwa muda unaozidi miezi sita kwa kukutwa na hatia ya kosa lolote, vyovyote linavyoitwa, linaloambatana na utovu wa uaminifu;
Hivyo; Bado Godbless Jonathan Lema ni mahabusu, anatuhumiwa.., siyo mfungwa (hakuna mahakama yoyote ambayo imemtia katika hatia).., Jamhuri kupitia mawakili wake inafahamu/wanafahamu kabisa kwamba, kwenye kesi inayomkabili Lema, hakuna Shauri la msingi, na kama kesi ikianza kusikilizwa mfululizo, jamhuri itaangukia pua mapema kabisa, hakuna kesi pale.., na ndiyo maana jamhuri inatumia loop of law-technicalities kumzungusha kwenye dhamana yake ya msingi...,
..., nimefikiri na kuandika hivyo.., ingawa, watu hawa hawashindwi kufanya watakavyo kuhusu jambo hili.., wanaweza kumtia Lema hatiani (kwa lazima) ili tu Lema asirejee kuwa mbunge wa Arusha mjini.., maana huyu ni 'kikwazo kwao'.., sioni namna CCM wakipata jimbo la Arusha mjini hata kama wakisimamisha mwenyekiti wao wa taifa katika jimbo hilo kuwa mgombea..,
NB; Kwa upande wa CCM.., wako radhi yoyote kutoka chama chochote awe mbunge wa Arusha mjini.., lakini siyo Lema.., i can assure you.., hawampendi Lema from the deepest part of their heart!
Ngoja nipate bia mbili ingawa hali ya mfuko sio nzuri nipate akil ya kurud tena
Martin Maranja Masese (MMM)