Kauzu Kinyama
Member
- Aug 13, 2011
- 41
- 5
Wana jamvi nimecheza hii game hadi nimefika sehemu ambayo nahitaji kuvuta crank, instruction inanitaka kuhold R1 na L3 ili kuivuta hiyo crank, sasa ishu ni kufungua huo mlango ambapo unafunguka pakiwa na kitu kizito juu yake. Hapo nimeshindwa kuendelea as ile ile crank haifiki hapo pa kuzuia mlango kujifunga.
Kwa mwenye ujuzi hapo naomba msaada.
Kauzu Kinyama, hivi ndo umepita hiyo shemu baada ya kupiga teke au?Kuhusu umri ni miaka 52 na miezi 7.
Thanks goes to Endangered
Kauzu Kinyama, hivi ndo umepita hiyo shemu baada ya kupiga teke au?
Maana kwa sasa sina console, na ni miaka imepita. If so, 'damn I'm goo!'
Hiyo game nimecheza na kumaliza mpaka very hard, zaidi ya hapo nilikoma ubishi.
By the way, Good Guy, Kauzu Kinyama, hivi mmeshaicheza Splinter Cell Conviction?
Ichekini kama bado, nimeicheza kwenye PC, ni noma sana. Balaa yani.
Dah MKATA KIU ,dats nice stuff!! I thought i was gonna kill Zeus in GoW II jamaa akakimbia! Ps2 haina GoW III so itabdi nitafute ps3 aise hii ki2 ni nxt level.
Dah umenikumusha mbali, I play god of war 1 and 2 2007 kipind nimemaliza 6 nasubir kwenda chuon, yaani ni bonge la game, and then mwaka jana nimecheza god of war 3 mpaka mwisho na to be honest hii ndo game iliyonifanya nijibane kamshahara kangu ninunue ps3, yaani dogo there is a lot of challenges awaits you,
On my views god of war one ndo ngumu kuliko zote na ina storyline nzuri, god of war 2 has gud storyline but njia zake zinasumbua sana and in games videos kibao, god of war 3 ni amazing in terms of graphic yaani you feel real HD experience and the power of playstation 3 in terms of epic scales although ni rahisi sana as haina njia ngumu, ushauri kuwa makini sana na camera inavyo rotate ukifika new stage hapo inakuonesha njia indirect,
umenikumbusha hares, hades, zeus, medusa, euryale and mama yao ambaye unakutana nae kwenye god of war 3, mateso anayoyapata gaia na cronos katika god of war 3 unaweza kutoa machozi, maana kwenye great war wanateseka sana, sikutoka nje likizo ya form 6 kama 4 months kwa ajili ya hizo best games for playstation na likizo yangu ya kwanza kazini I was spending with the last God of war 3 and I real have fun, nazani ikitoka God of war ascension ndo itakuwa game yangu ya mwisho kuicheza as umri umeenda na muda wa kucheza hardcore games zinazohitaji seriousness unazidi kupunguzwa na life strugles
Sasa hivi nacheza metal gear solid 4 but its real tough
Waiting for GoW Ascension next year!! GoW 3 is the best IMO! Hades is one scary god! The Cronos boss battle was Epic!
dude ur making my fingers twitch so bad
"Kratos is a bad ass"
Good Guy, Chaos Theory, hiyo ni ya PC ama?
By the way, PS4 si mna habari next year itakuwa unveiled. Codename: Playstation Orbis.
And to all, apart from The God of War, game gani nyingine ni favorite kwenu?
Kuna fan wa Command and Conquer kama mimi humu?
Good Guy hapo ni anam decapitate Helios,the god of sun!! It was priceless yani!!! The way he smacked his head on the ground,then he just rip it out of him...and then use it as a Torch and a weapon hahah!!