Mish Albert
JF-Expert Member
- Dec 25, 2015
- 657
- 582
Habari Wana Jamii intelligence
Mda mrefu kweli,nilitamani kuwe na Uzi ambao Watu watakua huru kutoa Ushuhudu Binafsi kuhusu uwepo wa Mungu katika Maisha Yao
Jinsi gani Mungu amewapigania mpaka walipo ivi Sasa au Ni Mikasa ipi waliowahi kuipitia inayowafanya kuamini uwepo wa Mwenyezi MUNGU katika ulimwengu huu
Hii pia itawasaidia ndugu wetu wengi waliopotezwa na fikra finyu za kutoamini Uwepo wa Mungu
Watu wa dini zote wanakaribishwa kutoa Ushuhuda wao Binafsi kuhusu uwepo wa Mungu(Personal revelation)
My take:
Huu sio Uzi maalum kwa ajiri ya mabishano yasio na msingi ya wale wanaodai "Kutokuwepo kwa Mungu"
Nauita Ubishi usio na msingi kwa sababu moja kuu....Kuna watu wanakana uwepo wa MUNGU kwa kusingizia kuwa hakuna ushaidi wowote wa kisayansi kuhusu Mungu
Sayansi ni Nini? na Ina nguvu kiasi gani Cha kuamua nini tuamini?
Wakana Mungu wengi hawafaham Kitu kimoja kuhusu sayansi
Sayansi ni falsafa(dhana tu) Kama falsafa nyingine
Kila mtu Ana falsafa yake kuhusu Maisha,Kuna wenzetu wa "Buddha" wanaamini nafsi haifi Bali huhama Hama katika miili tofauti tofauti kulingana na matendo yake(karma)
Kama walivyo "Buddha" Wanasayansi pia Wana falsafa Yao kuhusu ulimwengu....kuwa ulimwengu umeundwa na "Maada tu"(materialism)
Na hii Ndio falsafa nzima ya sayansi
Sasa falsafa dhaifu Kama hizo,haziwezi kuthibitisha chochote ambacho sio "maada" ikiwemo MUNGU
Pia sayansi na heshima yake yote,inaweza kuelezea 10% ya ulimwengu....90% zote hazifahamiki vipi Sasa inatwambia Mungu hayupo?(kwa maelezo zaidi "Google Dark matter &Energy")
ila Kama una swali lolote au Jambo lolote linalokupa mashaka kuhusu uwepo wa MUNGU na unataka kuelewa(sio kubishana) au Kuna hoja ya wakana Mungu ulioshindwa kuijibu waweza kuuliza na tukakusaidia kuijibu
Karibuni wanajamvi
#GOD IS REAL....

salam Kanisa wako mpendwa katika bwana 