Yani kila siku hili jambo linanitokea ....
naweza kuwa nipo peke yangu sehemu nikakaa mda mrefu..
nisione msichana yeyote wa kunitoa udenda akitokea..
hata barabarani nikitembea kama nipo peke yangu ni hivyo hivyo...
but ikitokea tu naongozana na mrembo hivi au nipo
sehemu hivi na my sweetheart hapo ndio exactly atatokea
msichana kifaaa cha kweli kweli cha kunitoa udenda,yaani
wakati mwingine napoteza network kabisa,nakuwa kama
kama nipo kwenye ganzi hivi kwa dakika kadhaa.
halafu sasa wakati mimi nakuwa nimebanwa na my sweetheart,
mara zote warembo hao wanakuwa free hivi na kama wananitazama tazama.
kiuchokozi chokozi...as if wanasema ungekuwa peke yako ........
kinachonishangaza hali hii ni kila siku,
siwezi kukaa sehemu hivi na mrembo bila mrembo mwingine kutokea
kama Mungu anasema ona kifaa hiki,ona na hiki.....ona hiki sasa...
yaani ni kama upo out na Halle Berry halafu anatokea Beyonce hivi yupo yupo tu
ana gaaa gaa,hujakaa vizuri anatokea Alicia Keys hivi nae anazubaa zubaa anga zako.mmenipata??????
Hahahahahaha hujatulia Boss!...LOL! Muombe Muumba wako hao akina Beyonce, Alicia Keys, Halle Berry au Rihanna ukutane nao ukiwa pekee yako ili uchangamke. Shauri yako, Mungu anakupima uvumilivu wako na kwa taarifa tu umeshindwa mtihani wake vibaya sana 🙂
Have a great day 🙂
Bosi hapo kinachotokea ni kwamba huyo sweetheart wako ni mzuri na ana mvuto ndio maana hata hao warembo wengine wanakuangalia mara mbili mbili! Ni kwa sababu yake! Yaani yeye ndiye anayekuongezea ''credit'' kwa hao warembo wengine! Take my words as I am talking from experience! 🙂
Kwa hiyo mpende na kumuheshimu tu huyo uliyenaye, hakuna kingine!
Dah! Masaki umegonga ikulu !!! That's the truth mzeiya,that explain why wanakuwa wanamchek kimatamanio. Ila kwa nini sasa akiwa mwenyewe hawaoni hao warembo?
Yani kila siku hili jambo linanitokea ....
naweza kuwa nipo peke yangu sehemu nikakaa mda mrefu..
nisione msichana yeyote wa kunitoa udenda akitokea..
hata barabarani nikitembea kama nipo peke yangu ni hivyo hivyo...
but ikitokea tu naongozana na mrembo hivi au nipo
sehemu hivi na my sweetheart hapo ndio exactly atatokea
msichana kifaaa cha kweli kweli cha kunitoa udenda,yaani
wakati mwingine napoteza network kabisa,nakuwa kama
kama nipo kwenye ganzi hivi kwa dakika kadhaa.
halafu sasa wakati mimi nakuwa nimebanwa na my sweetheart,
mara zote warembo hao wanakuwa free hivi na kama wananitazama tazama.
kiuchokozi chokozi...as if wanasema ungekuwa peke yako ........
kinachonishangaza hali hii ni kila siku,
siwezi kukaa sehemu hivi na mrembo bila mrembo mwingine kutokea
kama Mungu anasema ona kifaa hiki,ona na hiki.....ona hiki sasa...
yaani ni kama upo out na Halle Berry halafu anatokea Beyonce hivi yupo yupo tu
ana gaaa gaa,hujakaa vizuri anatokea Alicia Keys hivi nae anazubaa zubaa anga zako.mmenipata??????
Unaona hapo chini? Kasema mwenyewe hayupo siriaz.kwa hiyo hili tatizo ni la kutunga kama ajali ya ndege ya jana ilivyotungwa.if he is not siriaz,how can we?jamani ni vizuri mumkosoe mwenzenu kwa upole ili ajue njia aliyoko si nzuri airudie ile iliyo njema. namna hii manapandishana adrenalin tu halafu mnakuwa hamjamsaidia.
how old are you?????
u r so pathetic,
u really think kila tunchobandika
humu ni that serious sio?[/QUOTE]
mpinge shetani naye atakukimbia.
Hata mimi zamani nilikuwa hivyo hivyo,
lakini sasa nimepata msichana ambaye nampenda sio kwa sababu ya uzuri wake, ila kwa sababu nafsi yangu imemchagua yeye.
Naupenda utu wake wa ndani, usio haribiwa na ajali wala magongwa.
Naipenda nafsi yake na si mwili wake,
wengine wote nimewaambia wabaki nyuma,
sihitaji wa ziada wala zaidi.
mara zote warembo hao wanakuwa free hivi na kama wananitazama tazama.
kiuchokozi chokozi...as if wanasema ungekuwa peke yako ........
kinachonishangaza hali hii ni kila siku,
Uzuri ni kwamba Smith&Doe hawakuishia hapo tu wamejaribu kutoa suluhu ya hilo tatizo linalokusumbua.IF A MAN IS GIVEN AN OPPORTUNITY TO ENGAGE IN A SEXUAL RELATIONS WITH AN ATTRACTIVE FEMALE, WITH NO FEAR OF BEING CAUGHT AND LITTLE RISK OF TRANSIMITTED DESEASES, HE WILL DO SO. ALWAYS. WITHOUT FAIL. THERE ARE NO EXCEPTIONS