Mnasemaje kuhusu hii kitu wakuu, huu si ndio mwanzo wa mpira wa miguu kuanza kutumia technology kwenye kila kitu,imeanza kwenye goli,mara itakuja kwenye kuzidi,halafu ipo siku viatu vitatengenezwa maalum kwa ajili ya kujua kama umemkanyaga mwenzio,naona mchezo huu ambao umewatoa vijana masikini wanaanza kuualibu sasa,ipo siku itakuwa kucheza soka mpaka uwe na pesa.