Go go kesho man utd

Go go kesho man utd

Jipeni moyo tu, mwanangu ni mnazi wa Simba, Man U na Barcelona wakati kwangu zote hizo ni kichefuchefu huwa namuonea huruma sana kila timu zake zinapocheza msimu huu hasa last wkend kalilala mapema sana.
 
Hahaaa,Manure mna ndoto za mkulima kuokota kuni jangwani.Sema imani inaponya.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Back
Top Bottom