Go east go west .. Home is best

Sijawai yaelewaga makande kabisa na ukitaka niache kula Basi pika MAKANDE.

Ugomvi wa Mimi na makande ulipogo anziaga..😊

Nikiwa HIGH SCHOOL kwa Ile miaka miwili nili ISHI Maisha KIBISHI BISHI KULA VYAKULA AMBAVYO NGURUWE AKIPEWA ANAGOMA UGALI MAHARAGE NA KANDE.

YALE MAKANDE YA KUUNGUA MAHARAGE YENYE VUMBI NA MAWE SIKUWAI KUFURAHIA YALE MAUGALI NA MAKANDE YA PALE NDIO MAANA NINA BIFU NA MAKANDE.
 
Ukila saivi makande after one hour njaa ipo ple ple
 
Ni sacred meal kwetu.. Na ni chakula kitamu sanaπŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹
 
Kwakuwa kina mfumo bora wa kuyeyuka tumboni hivyo huwezi pata kitambi
Kwa kweli mwaka ule nilipokuwa kilimanjaro kitambi nilikisikia tu lkn saivi nimeanza mazoezi ya kukipunguza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…