Go diamond

Hehehehe good stuff. Nilijua nitakua wa kwanza kuvuta hio kitu.
 
Hilo si gari la kuvutia magari ya magogo yakikwama?
 
Imelipiwa kodi..........?.....
 
Ama kweli maisha bila unafiki hayaendi, kuna kipindi jide alipiga picha na evoque yake watu wakaponda vibayavibaya, eti ukipiga picha na gari sio lazima liwe lako
 
Ama kweli maisha bila unafiki hayaendi, kuna kipindi jide alipiga picha na evoque yake watu wakaponda vibayavibaya, eti ukipiga picha na gari sio lazima liwe lako

Ukiwajua binadamu utaishi kwa amani
 
Hadi raha kumuona pichani Baba Tiffah aka Mume wa Zari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…