Glory to God! Nimenusurika ajali

Wakuu nimenusurika katika ajari mbaya sana ya pikipiki. Nilikuwa nawahi job asubuhi. Nipo speed kama ya 80km/h hivi. Mara ghafla mbele yangu akakatiza ng'ombe mdogo.

Asee nimepita na huyo ndama chali palepale , mi mwenyewe huko, pikipiki kule. Kwa mashuda waliokuwepo pale walihisi nimezima pale pale.

Ila muujiza ulionipata ni kwamba dash board ya pikipiki yote nyang'anyang'a shok up hazitamaniki. Ila mm nipo physically fit,sina hata jeraha. Wala sihisi maumivu yoyote.
Bado una wenge subiri damu ipoe kwanza ndio utasikia maumivu ya mwili mzima
 
Wakuu nimenusurika katika ajari mbaya sana ya pikipiki. Nilikuwa nawahi job asubuhi. Nipo speed kama ya 80km/h hivi. Mara ghafla mbele yangu akakatiza ng'ombe mdogo.
Ndio.maana Mimi huwa natumia helikopta nikisafiri kuepuka vitu kama wanyama barabarani
Siku ingine tumia helikopta sio bei used ziko kibao
 
Gazeti la the citizen kipindi cha kesi ya ndama mtoto wa ng'ombe walikua wana mu-address as SON OF THE COW.
Umenikumbusha HAYATI walidhani ni neno kama mheshimiwa na kuanza na neno hayati kwa kila mheshimiwa aliyetambulishwa kwenye jukwaa, ilikuwa burudani ya kipekee.
 
Wakuu nimenusurika katika ajari mbaya sana ya pikipiki. Nilikuwa nawahi job asubuhi. Nipo speed kama ya 80km/h hivi. Mara ghafla mbele yangu akakatiza ng'ombe mdogo.

Asee nimepita na huyo ndama chali palepale , mi mwenyewe huko, pikipiki kule. Kwa mashuda waliokuwepo pale walihisi nimezima pale pale.

Ila muujiza ulionipata ni kwamba dash board ya pikipiki yote nyang'anyang'a shok up hazitamaniki. Ila mm nipo physically fit,sina hata jeraha. Wala sihisi maumivu yoyote.
Left to tell...! ¡!

Jr
 
Back
Top Bottom