Kweli Mungu ni wetu sote nikajua covid ishafanya yake mkuu.Pole sana
Pole sana mkuu ila bodaboda ni hatari sana.Wakuu nimenusurika katika ajari mbaya sana ya pikipiki. Nilikuwa nawahi job asubuhi. Nipo speed kama ya 80km/h hivi. Mara ghafla mbele yangu akakatiza ng'ombe mdogo.
Asee nimepita na huyo ndama chali palepale , mi mwenyewe huko, pikipiki kule. Kwa mashuda waliokuwepo pale walihisi nimezima pale pale.
Ila muujiza ulionipata ni kwamba dash board ya pikipiki yote nyang'anyang'a shok up hazitamaniki. Ila mm nipo physically fit,sina hata jeraha. Wala sihisi maumivu yoyote.
Mango treeKapige x Ray bro, yani huu mwili una maajabu una kuwekea ganzi hata siku tatu, baadaye sasa....
Ni usafiri wangu mkuu wala si wa mhindi au bosi flani. Nilikuwa naelekea kazini kwangu
Pedeshee ndamaUkizaa mtoto muite ndama kama kumbukumbu ya tukio...
Vip shock up haikuzama chooni!!??? Ila pole mkuuWakuu nimenusurika katika ajari mbaya sana ya pikipiki. Nilikuwa nawahi job asubuhi. Nipo speed kama ya 80km/h hivi. Mara ghafla mbele yangu akakatiza ng'ombe mdogo.
Asee nimepita na huyo ndama chali palepale , mi mwenyewe huko, pikipiki kule. Kwa mashuda waliokuwepo pale walihisi nimezima pale pale.
Ila muujiza ulionipata ni kwamba dash board ya pikipiki yote nyang'anyang'a shok up hazitamaniki. Ila mm nipo physically fit,sina hata jeraha. Wala sihisi maumivu yoyote.
Mkuu unakwenda spidi ya 80km/hr na una pikipiki miguu miwili.Wakuu nimenusurika katika ajari mbaya sana ya pikipiki. Nilikuwa nawahi job asubuhi. Nipo speed kama ya 80km/h hivi. Mara ghafla mbele yangu akakatiza ng'ombe mdogo.
Asee nimepita na huyo ndama chali palepale , mi mwenyewe huko, pikipiki kule. Kwa mashuda waliokuwepo pale walihisi nimezima pale pale.
Ila muujiza ulionipata ni kwamba dash board ya pikipiki yote nyang'anyang'a shok up hazitamaniki. Ila mm nipo physically fit,sina hata jeraha. Wala sihisi maumivu yoyote.
Watu mmekalili kuwa kila ajali mbaya lazima mtu aumie Sana au afe. Maana ya kunusulika ni nn sasa! Ninachotaka kukwambia mkuu naendelea kumshukuru Mungu kwa kuwa nipo kama siku zote. Mzima wa afya jema kabisa. Wala sijameza hata panadol yoyote isipokuwa gharama za ukarabati wa chombo changu tu.Mrejesho mtoa mada...! Najua leo mwili umeanzaa kuvunda maumivu kama yote!
Na nyongeza ya hapo mm ni mtu wa mazoezi so nimejaribu kuupima mwili wangu kwa mbio na push ups upo oke kabisa unarespond pasipo shaka.Watu mmekalili kuwa kila ajali mbaya lazima mtu aumie Sana au afe. Maana ya kunusulika ni nn sasa! Ninachotaka kukwambia mkuu naendelea kumshukuru Mungu kwa kuwa nipo kama siku zote. Mzima wa afya jema kabisa. Wala sijameza hata panadol yoyote isipokuwa gharama za ukarabati wa chombo changu tu.
Watu mmekalili kuwa kila ajali mbaya lazima mtu aumie Sana au afe. Maana ya kunusulika ni nn sasa! Ninachotaka kukwambia mkuu naendelea kumshukuru Mungu kwa kuwa nipo kama siku zote. Mzima wa afya jema kabisa. Wala sijameza hata panadol yoyote isipokuwa gharama za ukarabati wa chombo changu tu.
Mutoto ya ng'ombe.Ukizaa mtoto muite ndama kama kumbukumbu ya tukio...
Ukizaa mtoto muite ndama kama kumbukumbu ya tukio...
Gazeti la the citizen kipindi cha kesi ya ndama mtoto wa ng'ombe walikua wana mu-address as SON OF THE COW.Mutoto ya ng'ombe.