Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
Morgan Stanley, the No. 2 U.S. investment bank, on Wednesday reported a larger-than-expected fiscal fourth-quarter loss due to a $9.4 billion writedown from its exposure to subprime and other mortgage-related investments.
The company also said China's government-controlled investment vehicle has invested $5 billion to help replenish its capital.
China Investment Corp., which also owns a stake in private-equity firm Blackstone Group LP, will control no more than 9.9 percent of Morgan Stanley once its investment converts to common shares in 2010.
http://www.ft.com/cms/s/0/294ed78a-a...0779fd2ac.html
Ku-look east is a strategy to think about. Tatizo langu ni kwa hawa jamaa kuchukia demkrasia ya vyama vingi wasije wakaturudisha nyuma. Kwa wao kutokufuata hii system ya open policy ya vyama vingi sio mbaya kwa kuwa kwa kiasi kikubwa wana system za kudhibiti ubinafsi na ubadhirifu. Sasa najiuliza hivi hawa wajamaa walivyo walafi sasa kama isingekuwa na huo mfumo wa vyama vingi pamoja na press freedom kidogo ingekuwaje?
Hiyo Look west policy tuliyokuwa nayo for the last40 years imetusaidia nini? Whats the ppoint ya kuwa na vyama vingi huku serikali haiwezi kuwalisha raia wake?

Nadhani GT unayosema hapa yanaukweli, lakini mimi kama mwafrika naamini kwa uhakika kabisa, we dont need to look WEST OR EAST anymore! kama tulipongalia west tuliishia kunyonywa na kuhujumiwa, kipi kinatufanya tuamini kwamba hawa wachina na wengineo wao watakuja na adhma tofauti? kila mtu anataka kula na China ameamua kutumia hii quite diplomacy kwa sababu anataka raslimali zetu, chukulia Darfur, watu wanakufa kama nzi kwa sababu ya njaa na umaskini na ukandamizaji wa Khartoum, lakini kwa sababu China anakunywa mafuta ya Bashir hataki kujihusisha na shida za hawa wananchi, mpaka sasa watu Sudan wameanza kuandamana wakipinga sera za China! Sasa kipi kinakufanya uamini kwamba China ana nia tofauti na nia waliyokuwa nayo WEST miaka mia iliyopita walipokuja Africa? sema wamekuja zama tofauti ile nia ni ile ile! Kutuibia mali zetu-sema sasa tofauti kubwa ya sasa na wakati ule ni kwamba hizo raslimali tunawapa wenyewe kwa kutumia mikataba feki na rushwa!
Africa tunahitaji kutafuta THIRD WAY tujiangalie ni vipi tunaweza kutafuta marafiki wa kweli ambao wanaweza kusaidiana na sisi katika kuleta maendeleo kwao na kwetu..win win situation. Kwa sasa Africa tunakoelekea inaonyesha dhahiri hatujajifunza lolote kwa ukoloni wa miaka iliyopita. Harafu tunahitaji viongozi ambao hawaangalii petty gratifications (Thanks Madilu for your post above, umeelezea kwa undani). Ukiangalia acha tuu Tanzania lakini Africa as a whole bado, rushwa imetutawala, na kibaya zaidi wazungu na sasa wachina wanatuelewa vizuri sana, they know how to deal with us. Penye udhia penyeza rupia.
Hatuwezi kuanza kufikiria grand investment unazozizungumzia GT kama hatujaweza kufanya hata vitu basic kuwasaidia raia wetu waweze kupata milo miwili. China hakuanza kutafuta investment Africa na kwingineko, kwanza alianza kuwaempower watu wake, na ukifanikiwa kwa hili, basi ujue hata jamii yako itakuunga mkono kwani watakuwa wanajua kinachoendelea.
Africa hatuwezi kuendelea kamwe kwa kuangalia WEST, EAST, NORTH OR SOUTH!!! never!!! We need to look at our selves what went wrong na tuanzie hapo.
Mpaka tutakapoanza kuendesha nchi zetu kama NCHI na sio private property, tutakapoelewa kwamba kila mtu ana uwezo na haki ya kuchangia maendeleo ya nchi yake,...tutaendelea kulalamika. Its just a matter of time China akipata anachokitaka, atageuka na kuanza kudictate terms na tutaanza kulaumu as we have been doing since we became Africa!!
Africa needs itself and not otherwise around! Globalization is here to stay, lakini unapoona mwenye degree ya History ya mwaka 1970 anaenda kunegotiate deal la mamilion ya dola na kijana wa kimarekani au kijeremani mwenye MBA ya Harvard au Oxford, lazima ujue tatizo lipo na ufumbuzi hauko China au US au Ulaya!

---Tunaomba vipande kutoka kwa Suki na Kaiyurankuba katika hili...