Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,138
global
Tengua kauli mkuu hapo penye red. mwanga lutilahahaha yaani kwa hapa hautakiwi uwe na degree ya TEKU kukiju wanachokiandika.
Kuna moja ktk gazeti lao waliwahi kuandika eti "Ikulu ya JK iko mbioni kulipuliwa na alshabaab"......gazeti hilo lilinunulika kwa wingi sana, sasa baada ya kusoma ndani ndo ilikuwa ni vioja zaidi....kumbe walikuwa wanaelezea tu ni kwa namna magaidi wanaweza kutekeleza hilo huku wakiwa mbali na wakitumia majengo yaliyo jirani na nyumba hiyo namba moja nchini inayogombewa sana
Katika magazeti ambayo yanatakiwa kufungiwa basi hili ni moja wapo sijui serikali na wenyewe ni wabia wa haya makitu.
Katika mambo ya hovyo kabisa ambayo Tanzania imeendelea kudumu nayo ni uwepo wa hii kitu inayofahamika kama Global Publishers. Takataka wanazozijaza vichwani mwa wasomaji wa hayo magazeti zitakuja kuligharimu taifa siku moja. Wasomaji wa hayo magazeti ni watoto wa shule na watu wengine ambao kwa asilimia kubwa elimu kwao imekuwa tatizo. Kurasa za magazeti yao zimejaa habari na hadithi zinazohusiana na ngono kwa asilimia kubwa. Media zina nafasi kubwa katika kulijenga taifa ila kwa taifa linalojengwa na hwa glo
Tengua kauli mkuu hapo penye red. mwanga lutila
subiri lowassa akalie kiti huo upumbavu utaisha yule ni mzee wa kazi
Niliwahi kusikia mwenye haya magazeti ni mlokole.