yaani mkuu huku segerea ni vilio tu, maadam wangejua ni jinsi gani wanavyo watia watu loss yaani acha tu, saloon, mabucha, internet cafe, stationeries,maduka mbali mbali yaani kila kona uzalishaji ulisimama na hawa watu wanatakiwa kurejesha mikopo ya biashara walizokopa. taabu tupu