EEeh are you sure!!!!!!! Kwa upande wangu huwa najiuliza hivi ningeishije kama nisingekutana na huyu mume wangu, I really love him so much and he does the same too. Huu ni mwaka wa 14 wa ndoa lkn naona kama tulifunga ndoa last month.Namrudishia sifa na utukufu Mungu wanguall the ladies in jf seems to be happily married..........
Absolutly!!!! He is like a
wine, the more siku zinaenda the more anakuwa mtamu. Chezea dhidhi ndio
baba dhao wewe....?
absoulutely.... I would
still marry him coz sikuona na mpaka sasa bado sijaona mbadala wake. its
not like paradise yet its beautiful...
pole my sister....