Mnasemaje mabibi na mabwana! Je ni kweli kuwa kutompa mwenzio space kunaweza kuhatarisha uhusiano wa mapenzi!
ukiona unabanwa sana jua mwenzio hana confidence na wewe au ana ugonjwa wa akili.
hakikisha unaaminika na mwenzio kwa vitendo vyako hiyo itapelekea akuachie huru.
sasa kama mdada una boyfriend na anakuona unavyopitiliza ukiwa na watu wengine, lazima aogope kukuacha, hata ukiwa una genuine isssue atakubana tu.
Au kama we kaka unajulikana kuwa nyendo zako zinatilia mashaka, wala hujisumbui kuhakikishia mwenzio, kwa nini asikubane? wakati anakupena uwe wake tu?
Ukiona mwenzio hakubali kukuachia,pamoja na jitihada za kuwa na communication na ssurance genuine. jua anaumwa ugonjwa wa akili, na kama hauko tayari kumsaidia, basi kimbia haraka atakudrain manake huna jema utakalofanya maisha yote, anaweza hata kujiua.
Naimaomari ..Haika.....You have said it very well..insecurities, insecurities, insecurities...
There have been many reasons why marriages have been unstable of recent. One reason is that men find it impossible to cope with a woman who gives them no space. New research has found that women are designed to react more emotionally. Men, on the other hand, will have a negative response to too much stimulation. A woman gets upset, she reacts emotionally, it's too much stimulation for the man, he does something to create space, she feels he's pulling away and goes after him, which only provokes his need for more space. And so on and so on...
--------------------------------------------------------------------------------
ukiona unabanwa sana jua mwenzio hana confidence na wewe au ana ugonjwa wa akili.-Haika
--------------------------------------------------------------------------------
...does insecurity comes with upbringing, lower self esteem or immaturity?
mwanamke akiwa 'king'ang'anizi' inakuwa mzigo kwa mumewe, unaoa awe mkeo, sio mama yako!
Some guys simply dont grow up...they remain always mama's boys..so they need to be babied!
...ha ha haa... duuuuh! ...so that falls into immaturity category then?
naah, i like being pampered sometime, its not about immaturity, am not a spoilt brat!
well said 'momma!'
wapo wenzio wengi, na wanaongezeka tu ndio sababu wanatafuta masugar mumy wa kuwatunza...
...'tuk-tuk'
...Haika, taratibu usijeuvuka msitari...
kuna ubaya gani mke wangu akini-pamper 'sometimes'? si ndio zama hizi mnazodai haki sawa kwa wote,... i dont mind if she's spoiling me, huenda ni tactics zake ya kunidhibiti 'nisikate kamba',...
so long as am wise enough and able to understand these 'mind games', i know the limits, and where to put a stop.
Take it easy
Some guys simply dont grow up...they remain always mama's boys..so they need to be babied!
Sadly, tunasikia kwamba akina mama ndio wanaongoza kwa kubana wanaume!! Sijui nao ni kwa nini?
MTM bana....sijui utakuwa lini..tuulize siye...
Aka! siyo mimi MTM, wangu namwachia ajimwage ili mradi ana-observe mipaka yake,ananiheshimu popote alipo kwa hiyo sina haja ya kumbana eti asipumue.Sadly, tunasikia kwamba akina mama ndio wanaongoza kwa kubana wanaume!! Sijui nao ni kwa nini?
Aka! siyo mimi MTM, wangu namwachia ajimwage ili mradi ana-observe mipaka yake,ananiheshimu popote alipo kwa hiyo sina haja ya kumbana eti asipumue.
Thanks NWaigwe!!!
nakubali wapo kama wewe ila pia kuna baadhi ambao ni ku-tight to the core and some are also too dependent and daddy's girls kiasi kwamba usipokua makini atakuaibisha