Girls you need to take it slow..

Girls you need to take it slow..

kidole007

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2012
Posts
3,094
Reaction score
1,877
Baasi
kuna tabaka la wasichana hapa mjini wengi wapo in their 20s,wanafikiri maisha ni kufanya starehe

mtoto wa kike unakesha baa, getting wasted kama wanaume

mtoto wa kike vijiwe vyote vya sheesha unavijua

Mbaya zaidi mtoto wa kike una sleep around tu na kila dume kama tunavyofanya wanaume

khaa eti ndio umjini au nini

ukijashtuka uko in early 30s unataka kuolewa nani atakuona gume gume na reputation yako

huko instagram tunawachora tuu mnavyojianika

mbaya zaidi hii syndrome imeanza kuwa epidemic kwa wanawake wasomii

tunao maofisini,

wanaume wengi they are not complaining including mimi kidole sabab tunabenefit na easy sex, ung'ang'anizi unapungua etc

But one thing for sure we'll have fun but i will never take u to my mama

take it slow starehe fanya but kwa kiwango cha mwanamke
 
Itabidi nijiunge huko insta.. nioshe macho!
 
Dnt justify eti mwanaume ana uhuru wa kufanya yote hayo, Mungu hapendi!!

let mungu aside
tuongee tu ktk hali ya kawaida
mtoto wa kike usiku wa manane uko bar??
Bora uwe na boyfriend au kaka umetoka nae
unakuta kundi tu la madada wametoka wenyewe
 
Baasi
kuna tabaka la wasichana hapa mjini wengi wapo in their 20s,wanafikiri maisha ni kufanya starehe

mtoto wa kike unakesha baa, getting wasted kama wanaume

mtoto wa kike vijiwe vyote vya sheesha unavijua

Mbaya zaidi mtoto wa kike una sleep around tu na kila dume kama tunavyofanya wanaume

khaa eti ndio umjini au nini

ukijashtuka uko in early 30s unataka kuolewa nani atakuona gume gume na reputation yako

huko instagram tunawachora tuu mnavyojianika

mbaya zaidi hii syndrome imeanza kuwa epidemic kwa wanawake wasomii

tunao maofisini,

wanaume wengi they are not complaining including mimi kidole sabab tunabenefit na easy sex, ung'ang'anizi unapungua etc

But one thing for sure we'll have fun but i will never take u to my mama

take it slow starehe fanya but kwa kiwango cha mwanamke

Huko kwenye BOLD tu ndo umeniboa...!
 
What a man can do a woman can do!!

That not true my dia.
Huyu kaka has a point japo kuna visehemu kakosea kama Mentor alivyosema hapo.
Ila mwanamke hauwez kushndana na mwanaume hata siku moja,unaeza kujiona unaeza bt at the end of the day wew ndo utakua looser...weng watabisha bt deep down katika mioyo yao wanajua its true sema we are too proud to admit.
Ndio starehe tufanye ila na heshma iwepo pia isiwe too much.
 
Swali ju ya swali

siku hizi mnajidai mnaendesha magari
pata picha umepata pancha usiku wa manane unatoka kwenye starehe zenu

kufungua tairi tu huwezi afu unasema what a man can do a woman can do

mnaanza kusumbua watu na simu
usiku hapo baby nyingi kweli
 
you only live once anyway hakuna aliye na haki ya kumisbehave si mwanamke au mwanaume kwani wewe mwanaume unavyolala na wanawake hovyo ni sifa eti kisa amejirahisi ni ujinga jiheshimu
 
kidole007 zama zile zilishapita sasa tuko zama hizi na zama zinazokuja sijui zitakuwaje na hakuna zama itayokopy zama ingine, kila zama itaona zama iliyopita ilikuwa imepitwa na wakati. We hakikisha mkeo hafanyi usiyotaka, huwezi mzuia dada yako maana anapendwa na mwanaume mwingine. Pia hakikisha binti yako haingii kwenye hayo unayoyaona maovu na kijana wako asiwe chachu ya kutake advantage ya waschana wasiojua kusema hapana. Play ur role and u'll see changes from ur generation onwards.
Change ni mimi na wewe na si kulalama na kukaa kimya, action is needed.
 
Last edited by a moderator:

umesema point mkuu!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom