Hapana mleta thread atuambie ana maana gani. Ni kwamba weekend pichu zinakuwa nyingi sana au zinachafuliwa sana? Maana kuna mbili kwenye mchoro zina madoa doa sana.Kwa nilivyoelewa mimi ladies wanavaa underware za kawaida sana siku ambazo sio hot,jumatatu paka alhamisi. Ijumaa na jumamosi wanatupia zile za uhakika maana wanajua ndio siku za mibuzi