Girls How to Protect Yourself

inabidi wafanye sana tizi la sivyo unawaponza hawa akina kaunga na zion daughter
 
Huyo ni karateka aliyefuzu. Sio kila binti anaweza kufanya hiyo defence/attack.
 
DONT TRY THIS...., at home, school, bar etc...
 
Try this and get back to us kesho uje utupe majibu....
 
Waiiii. Kitu cha bisto tu. Ukileta fyoko unakula shaba afu nawahi polisi kuwa nilijilinda
 
Angalia usijewaponza wenzako, sio rahisi kama unavyofikiri labda wajaribu bar kwa akina Ahmada.

Sio rahisi ufanye yote hao bado mwanaume anakuangalia, kwani hayo matiti hayaoni au unafikiri hiyo siri iliyopo kwenye matiti wanaume hawaijui? Pigo moja tu murder case.
 
Wadanganye wadada na haka kapicha alafu nimnyofoe mmoja meno manne ya barazani akose show ya sebleni ndo atakoma.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Wadanganye wadada na haka kapicha alafu nimnyofoe mmoja meno manne ya barazani akose show ya sebleni ndo atakoma.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
kwani wewe mbakaji mkuu daudi mchambuzi hii naona inawafaa wabakaji na walevi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…