Girls born in 1990

Uzee haubishi hodii..
 
Mwanamke anayeuliza such stupid and unreasonable qn ni mpuuzi maana kwa kiasi kikubwa huwa lazima udanganywe tu.
 
Bila shaka PM hakuna hako kaswali eeeh...

Wacha nijongee.
 
Hivi kwanini hilo swali huwa linawakera sana wanaume?

Kwani ni vigumu sana mtu kujibu umepata wapi namba?
Wadada msipende kuuliza hilo swali bana,kwani mtu mpaka kapata namba yako weye hujui nn anataka/tafta kwako??
 
Walah ukifikisha 35 huwezi uliza ati umepata wapi namba yangu, otherwise uwe kwenye ndoa!
Hivi kweli unaachaje kuliuliza furushi limepataje namba yako[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Wengine kupata namba yako ni laana acha tu muulizwe. Namtaulizwa tu hata tukifika 50.
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
unapiga dongo la ukweli ukwelii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…