SMH!!!Maandishi yako yanakushangaa mkuu.
Mtu wa kariba unayoielezea hahitaji kutumia muda wake mwingi au maelezo marefu kama ulivyofanya ku validate aina ya maisha anayoyaishi if at all ni kweli anaishi aina hiyo ya maisha.
Pia maandishi yako yanaonesha uko na dreams za kuwa na aina hiyo ya maisha. Goodluck girl.
At 'infinite' years oldSo at what age?View attachment 1180544
Vipi kwaniIshiii...!
Vipi kwani
Only 4months,hapo mapigo ya moyo lazima yaongezeke...I'm talking to you sisters. Next year you'll be 30. Stop your stupid questions as to where did you get my number. Don't say you were not warned. 4 months left. ContinueView attachment 1174475
Hahaha hii comment bwana...Nikija hapa jf nikisema kwamba "aagh nimechoka vyakula vya KFC" Kuna watu wataona kwamba hayo maisha ya kula KFC sina najikweza tuu ili nionekane matawi.
Same mimi nikija hapa nikisema vyakula vya mama ntilie vinaniumiza tumbo, nitakandiwa sana kwamba kwanini nakula mama ntilie nisiende sehemu classic ( watakuwa wameamini kweli nakula mama ntilie). Ila nikisema KFC wataona najikweza tuu. (KFC ni mfano tuu haimaanishi ndio best kwangu).
Mwanamke akicomment kuwakandia wanaume ataambiwa ana stress , ndoa yake haina furaha, au hataolewa na vitu kama hivyo.
Mwanamke akisifia wanaume ataonekana anajitongozesha , anatafuta bwana na vitu kama hivyo.
Jee mwanaume akimkandia mwanamke yeye hana stress?? Ndoa yake haina furaha?
Mbona hapa kwenye huu Uzi kuna makombora yanatok kwa wanaume kuja kwa wanawake lakini hamjichukulii kama na nyie mna stress ? Kama mahusiano yenu yana furaha hizo experience mbaya za wanawake mmezipata wapi?.
Yaani mpaka ifike mahali mtu aogope kucomment kwa sababu aki comment mabaya yatakuwa yanachukuliwa ndiyo maisha yake halisi, lakini aki comment mazuri hayachukuliwi ni maisha yake halisi inachukuliwa ni fantasy yake.
Mnasema huku jf watu tunafake maisha ila pale tuu ambapo tutakuwa tumeongelea mambo mazuri kama nyumba, magari, ndoa yenye furaha, kazi nzuri nk. Hapo ni kufake.
Ila tukizungumzia mabaya kama migogoro ya mahusiano, kulala njaa, kupanga uswahilini hapo inakuwa siyo kufake inakuwa ni kweli.
Smh..
Cc Lizarazu.
😂😂😂imefanyaje?Hahaha hii comment bwana...
Hiyo sauti ulivyoitoa kama vile mtu fudenge anaingizwa kiungo kitukutu mahali fulani.Ishiii...!
Mimi nashindwa kutumia jf kwa dakika angalau 5 mfululizo. Nitumie dawa gani ili mambo yabadilikeHivyooo..! Utaharibikiwa naona umepatwa na jf, punguza inakuwaga na uraibu shauri yako.
Wanasema imesheheni povu lote[emoji23][emoji23][emoji23]imefanyaje?
Hilo povu na wewe umeliona😂😂😂?Wanasema imesheheni povu lote
Ngoja kwanza nivae gaggles halafu nitakupa jibu.Hilo povu na wewe umeliona[emoji23][emoji23][emoji23]?
BabySMH!!!
Sijaelewa unamaanisha NiniHivyooo..! Utaharibikiwa naona umepatwa na jf, punguza inakuwaga na uraibu shauri yako.
Baby
Limited mind.Sijaelewa unamaanisha Nini
With youTo hell!!
Ndio.Limited mind.
With you
With youKabhi Nahi!