Girlfriend wangu wa zamani simuelewi


ukimwambia una ngoma ATAKUTANGAZA chezeya vuvuzela
 

Du umetisha sasa hapo itamshauri vip maana kila kitu kiko wazi labda uwe mburula.Hapa watakuja hakina mzabzab watamwambia Agegede
 
Last edited by a moderator:
Wewe mtoa mada umeshajivua uanaume tayari....na wanaume wenzio tunakushangaa......yaani unashindwa kulifanyia maamuzi jambo simple kama hili...mpaka unakuja kulialia huku tena mbele ya wanawake......ACT LIKE A MAN....
 
Unaweza kuamini nilikua katika exactly your situation mpaka juzi tu mwezi wa 8? Mwanamke nimechunia miaka 3 mfululizo ila bado alikua anatuma msg hadi mwezi wa 8 na ana watoto 2. Hehehe! Women are from Venus my friend, hata utafakari vipi huwezi pata jawabu. Wewe ni kuamua kiume na ku move on.
 
A real man would say No, .....and mean it.
 
heheh very funny.... si ungejikaza kiume mkuu ule mgegedo afu una move on!!:glasses-nerdy:
 
Wewe mtoa mada umeshajivua uanaume tayari....na wanaume wenzio tunakushangaa......yaani unashindwa kulifanyia maamuzi jambo simple kama hili...mpaka unakuja kulialia huku tena mbele ya wanawake......ACT LIKE A MAN....

and think like a lady
 

Loh!!! Jamani kuna watu mna visa humu ila nashukuru nimeongeza siku mimecheka sana
 
Achane aye muogope kama ukoma, ni mke wa mtu huyo, fikiria ungekuwa wewe ndo mwanaume wake. Sababu iliyokufanye umwache bado iko palepale kuwa hakuwa mwaminifu kwako na sasa si mwaminifu kwa mumuwe na huenda kuna mwingine tena. Kumbuka kuwa wewe si mtu wa kwanza kutakwa na ex, kwahiyo ni jambo la kawaida, zote yametukuta na tukasonga mbele tenakwa sisi wengine hakukuwa na sababu kama yako ya kuachana bali ilitokea tu lakini hatutizami nyuma. ACHANANA NAYE MWESHIMU MWANAUME MWENZAKO NA MUOGPE MUNGU WAKO PIA KAMA UNAAMINI KUWEPO KWAKE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…