loykeys
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 1,175
- 911
Habari wana jamvi wa MMU.
Ni takribani miaka 4 kamili iliyopita nilipovunja uhusiano na aliyekuwa girlfriend wangu na kukatisha mawasiliano nae. Sababu ya mimi kubrake up nae ni alikuwa si mwaminifu so kuna ushahidi niliupata ambao ndo niliutumia kusitisha mahusiano nae.
Mwaka juzi nikapata habari kutoka kwa ndugu yake wa karibu kuwa Ex wangu amepata mchumba na anaolewa, na kweli akaolewa. Kwa upande wangu nikafarijika kuwa amepata mume na sasa atatulia.
Sasa last week nikiwa ofisini nikapokea simu ngeni kutoka kwa mwanamke niseyemfahamu alipojitambulisha alikuwa ni yule ex wangu akasema ametafuta contact zangu na amezipata kwa ndugu yangu wa karibu na sababu ya yeye kunipigia ni amenimiss na ana wish siku moja aje dar anione anisalimie.
Sasa wana jamvi mimi sitaki kurudisha ukaribu na huyu binti na isitoshe ni mke wa mtu na sitopenda kuwa na ukaribu nae but naona amezidisha kunipigia simu mara kwa mara kunijulia hali but sitaki kumfikiria vibaya lakini nimepata mashaka huu ukaribu anaoutengeneza sio mzuri kwa mustakabali wa ndoa yake.
Naombeni ushauri niendelee kuwasiliana nae tuu nione nia yake ni nini au nimpotezee.