Sasa mbona mnamwandama sana nyie watu humu ndani utafikiri kamuua Yesu au Mtume?
Mbona watu wana chumbia na kuoa wanawake wenye watoto ambao sio wao iweje mnamtukana na kumwona hafai kisa ana mchumba mwenye mimba ambayo sio yake?
Au kuwa na mimba ni dhambi kubwa zaidi ya kuwa na mtoto? Hao wanawake waliozaa na waka achika na sasa wanawachumba/ husbands si hao watoto walikua mimba kabla? Mbona siskii mkiwa condemn hao wanaume kama amabvyo mmemshupalia UbuntuX?
Nashindwa kuelewa kwanini gf mwenye mimba amabyo sio yako hafai kabisa ila gf mwenye mtoto amabe sio wako ni tatizo?
Na kuna wanawake kabisa humu wanaponda kabisaa kwa roho nyeupe.
Hebu nielezeni why the neanderthilic prejudice o thee heathen creatures?
I think most of you are hypocritical bigots! Ni wanafiki sana mnaomtukana na kumkandia UbuntuX!
Wether hii hadithi ya Ubuntu ni kweli au si kweli haijalishi ila..
Rudini nyuma na mfikirie sio kukurupuka na kufwata mkumbo!
How different is his situation compared to those who marry/date single mothers? THINK yee so called "Great Thinkers"! THINK!