Girlfriend wangu kanitongozea rafiki yake.

Kimsingi hapoo Kulaa huyo demu mapema maana Wote wanaweza kukumwaga..

Sema kama una gari mzee babaa usijali utakuwa unawapakuaa tuu woteee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dear frnd,be careful,wanawake tuna akili sana,huo ni mtego wa wazi kbs.Your galfrnd knows each and everything,anakupima.Siku watakubananisha kwny angle, ukose pakupumulia,hutaamini..Hicho ni kipimo mkuu,mwisho ukose bara na pwani
 
acha uzembe THREESOME Hiyo......kwani unaacha alama...ungeleta kuwa ushamaliza kazi je umekosea..ndipo tungeshauri vizuri sana
 
HII NI CHAI TUPU NIMEUNGANISHA DOTS PIA
 
Amna bro sjafeli ni kwamba Anna nilimwacha sehemu kama njia panda ivi ndo mana niliuliza kama alifika salama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha kweli mze baba ivi mambo zipogo Sema membaz wanaona kama nazingua vile ..lakini wacha iwe mbaya kam ananipima atanijua tu. Me Anna napiga nayeye akileta nyodo anapitishwa ivi.

Huwaga sina cha kupoteza aise..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ameona we uchepuki kabs wakat ye daily analiwa mpk tigo mwanaume kaza


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu hao mademu watakuokota hadi ukome, jua tu wew ni kichwa panz

Wanapataje ujasili huo?? Wakukueleza upuuzi

Na wew kwa nn umuulizie huyo Anna sana, unatuficha na sisi sema tu kama ulimtaman kweli??? Had kumuulizia kukawa kwingi.

Sasa kama unajijua waga vihela vyako nivyamashaka nakwambia utawakosa wote,
Ila kama unao mtonyo mkubwa fanya lolote maana ata wakikutema unaweza kwenda bar kulewa kupunguza mawazo na kujibebea zigo kali lingine.

NB: punguza kuwaza wanawake sana, find money mkuu. Ukikosa kosa hiyo kitu sana utaaibika
ila kuachwa huwez aibika kama hela ipo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…