.......Watoto haswa hawa teenagers wala mzazi usijidanganye kwamba unamchunga au unampa ratiba ili awe busy........wapo very smart kiasi kwamba mzazi wala hutajua kama ana GF au BF.
Mimi nikija kuwa na mtoto awe wa kike au wa kiume, nikishaona amepevuka ni kiasi cha kuwa karibu naye na kumfanya ni rafiki yangu na kumueleza jinsi mambo ya mahusiano yanavyotakiwa kuwa.
Mzazi inabidi uongee na mtoto wako usimuonee haya kumpa sex education, maana kama hujamweleza ukweli wewe mzazi utakuja kuumbuka bure kwa kutomwambia ukweli mwanao kuhusu mahusiano.