Girlfriend allowance

Girlfriend allowance

Tangazo limefika wanakuja, usilete kelele baadae.
Japo hiyo hela uliyoiandika na yenyewe pia bado ni gross, toa nauli/mafuta, msosi+maji, bundle, sabuni/shower gel, maji na umeme.
Itakayobaki hapo sasa ni net yako, utagundua huna hela ya kutoa girlfriend allowance, acha uwaki
 
Wewe unampa shilingi ngapi kama boyfriend allowance?
 
Gen Z mnatisha aisee mtumie Mama kijijini elfu hamsini na tatu kila mwezi utakuja kunishukuru hiyo allowance kwangu ni mpya chakata mwenyewe mkuu..
 
Kila siku awe anatumia buku hadi mshahara ufike..
Ndio mkuu, kama anatumia zaidi ya Buku kwenye nauli bc awe anafanya mazoezi ya kukimbia ili kupunguza hizo gharama 😂 Then apande daladala eneo ambalo nauli itakuwa Buku kwenda na kurudi 🔥
 
Mpe laki 3 ,wazazi laki 4 ,inayobakj tumia ...Ila jiandae siku ukifilisika dharau zitarudi pale pale.
 
Mwanakulaaniwa
Wazazi wako wanateseka huko walipo wewe matako unaongea upuuzi huku hii mimba wazazi walitakiwa waitoe
 
Back
Top Bottom