Kosa alilofanya Kikwete 2005 na bado anafanya! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kosa alilofanya Kikwete 2005 na bado anafanya!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Apr 20, 2009.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Apr 20, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Ni kuendelea na mambo yale yale ya serikali ya Mkapa. Kutokuanza upya kuelekea ujenzi mpya wa taifa la kisasa. Ni kutokukata ile kamba inayomuunganisha yeye na Mkapa na hivyo kuendelea na mtindo ule ule wa uongozi.

  Leo hii, kwa kiasi cha kutisha hadi tripu zake za nje (kama nilivyodokeza mwaka jana alipokuja NY) zinaendelea kutumika kama mitaji ya watu wachache.

  Kosa hili ni vigumu kulisahihisha kwa kadiri ya kwamba watu aliohusiana nao 2005 na wale waliomwingiza madarakani wakati ule bado wana nguvu kuliko wale tunaowadhaniwa kuwa ni watetezi wa taifa na wanaoongoza vita dhidi ya ufisadi. Kikwete bado hajavunja mahusiano nao, kwani hawezi kuvunja mahusiano hayo. Na endapo akiamua kuvunja mahusiano hayo sasa basi ni kweli hatosimama kama mgombea 2005.

  Hata hivyo, kama ilivyokuwa kwa Mkapa, kuna mambo ambayo Jk na washirika wake wanayafanya sasa na siku moja itabidi wayatolee maelezo. Tanzania inahitaji kuanza upya si kuendeleza ya zamani kwa kasi mpya, ari mpya na nguvu mpya.

  Kikwete hawezi kuanza upya kwani yeye mwenyewe amefungwa na kamba za fikra za zamani!

  That is whats up!
   
 2. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  If you think Kikwete is lousy now, wait until after re-election.

  He will go buckwild like there is no future re-election, which will be precisely his rationale.
   
 3. KadaMpinzani

  KadaMpinzani JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2009
  Joined: Jan 31, 2007
  Messages: 3,749
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  kama nilivyosema jana, huwa anapenda kusema "HATA SISI HII HALI TUMEIKUTA IKIWA HIVI HIVI"...................mpo hapo ?
   
 4. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Alishaonyesha hili tangu siku ya kwanza-siku alipoapishwa. Nilikwenda pale uwanja wa Uhuru kwa nia ya kusikia live jinsi nchi inavypewa mwelekeo mpya. lakini nilichoambulia ni kusikia falsafa ya kupokezana vijiti, nikajua tangu wakati ule kuwa tumeliwa
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Apr 20, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Whaaat!?!?!? He was lousy before he became president...
   
 6. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #6
  Apr 20, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Matokeo yake ni kuwa hata wale ambao leo wanamuita jemedari wa mapambano ya ufisadi watakapotambua jinsi ametumiwa na anatumiwa na mafisadi kujitengenezea utajiri (kama Mkapa alivyotumika) ndio hawa hawa baadaye wataibuka na kutaka Kikwete achunguzwe. Na yeye akifuata mfano wa Mkapa ataamua kukaa kimya huku Rais mpya wa CCM akisema "mwacheni mzee astaafu kwa amani".
   
 7. M

  Mundu JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2009
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Nilikuwa Zambia kama miezi mitano hivi imepita, mwananchi mmoja aliniuliza kwa nini watanzania tunaua Albino... sikuwa na jibu... pia akaniuliza yeye anadhani Kikwete ni Rais bora kiuongozi kuliko Marais wengi barani Afrika, alisema hivi akikumbuka Hotuba ya JK aliyetoa wakati wa maziko ya Hayati Mwanawasa pale Lusaka, na akataka kujua mtazamo wangu na jinsi watanzania wanavyomchukulia... Nikamjibu ┬┤kitanda usicholalia hujui kunguni wake`.
   
 8. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #8
  Apr 20, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Uongoziw a Kikwete ni cosmetic... ulimpatia jibub zuri sana
   
 9. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #9
  Apr 20, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Hapa inabidi tutafute jibu la swali: Inakuwaje watu wa nje wanaona Kikwete is the best thing to happen to Tanzania wakati kuna watu kati yetu ambao wanaona (na kuna wengine nimewahi kuwasikia mwenyewe) kuwa ati Mkapa alikuwa bora kiuongozi kuliko Kikwete?
   
 10. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #10
  Apr 20, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,548
  Likes Received: 18,218
  Trophy Points: 280
  MMKJJ, taja tuu jina la kale kanzi ka arabuni, tusisubiri mpaka 2016 ndio tushtukizwe kama AnnBen.
   
 11. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #11
  Apr 20, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Very similar 2 Kenyans! Mwanzani mwaka jana tulikuwa na kule Naivasha (Great Rift Valley Lodge), tukiwa tunajadili issue mbalimbali za East Africa likiwemo la viongozi wetu, mimi nilikuwa najaribu kuwaeleza who is the real JK back home! 2 my suprise wale jamaa walikuja na ushuhuda wao wa ajabu kuhusu wao wanavyomfahamu na kwamba to them ni best leader in Africa!

  Nikaishiwa pozi kabisa pale!
   
 12. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #12
  Apr 20, 2009
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Mwkjj:mimi ni kati ya wale uliowataja ambao wanaamini ukimweka Mkapa na Kikwete side by side, Mkapa anashinda hands down katika leadership in general.
  Wote wana HUGE misgivings zao but at least Mkapa hakuleta blahblah alikuwa mtendaji. Huyu msanii ni porojo nyingi lakini vitendo ni zero!
  Kama kuiba wote wanaiba! Hakuna mwenye afadhali. But at least wakati wa Mkapa there was hope now.. it's just gloom and doom! Mi naomba tu-suggest to Zambians na Kenyans wamchukue JK kama rais wao si tuchague mwingine!
   
 13. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #13
  Apr 20, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  umenichekesha...!! lakini na sisi tukimpata mwingine kutoka CCM atakuja na wimbo a kuendeleza yale "mazuri ya Kikwete".. and the cycle of incompetence will resume unabated..
   
 14. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #14
  Apr 20, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,548
  Likes Received: 18,218
  Trophy Points: 280
  Kama kawaida ya nabii.... Wayahudi walimsulubisha.
  Kwenye uchaguzi ni mambo ya choice 'choose your love, and love your choice' inapotokea you don't get what you want, just take what you get even if its not your choice na hapa ndipo you can't love your choice na kazi inabaki ni moja tuu, kumsulubisha.

  Pamoja na mapungufu yote ya JK, ndiye aliyepo na kutokuwepo any serious alternative, tutanchagua tena kwa kishindo huku tukiendelea kumsulubisha kwa kelele ambazo kwayo yeye ni za mlango tuu, hazimkoseshi uzingizi wake wa kusubiri kustaafu kwa amani 2015!.
   
 15. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #15
  Apr 20, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Watu kama hawa ndio wanaorudisha nyuma ndoto zote za maendeleo Tanzania.
   
 16. KadaMpinzani

  KadaMpinzani JF-Expert Member

  #16
  Apr 20, 2009
  Joined: Jan 31, 2007
  Messages: 3,749
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  duh ! kama ndivyo wanavyomuona hivyo basi kweli tabu hiyo !
   
 17. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #17
  Apr 20, 2009
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160

  Pasco mi nimeshasema na ninarudia: niko radhi kumpigia kura Mtikila kuliko Kikwete! I really mean it. Na ni lazima tuwaeleza wananchi kwamba anything is better than what we have now!! Nobody can screw up more than Jk just did in 5 years! Believe me! Tulikuwa tunauziwa kila siku oh upinzani haujui kuendesha nchi blah! Na we unasema hakuna serious alternative. Sorry, but I don't get it, is JK any choice let alone a serious choice? NO! Does he know what he is doing? NO! does his government know what it is doing? NO! Has the opposition shown more understanding of national issues? YES! Sasa huna sababu ya kumpa kura yako Kikwete... eti hakuna serious alternative... this president is a JOKE!
   
 18. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #18
  Apr 20, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mkuu Susuviri nakubaliana na wewe kabisaaaaa! Yaani nchee nkapa mbali na ufisadi mkubwa uliofanyika wakati wake, angalau alikuwa anaweza kusimamia ipasavyo issues ambazo yeye alifikiri zitakuwa na manufaa kwa TZ e.g kuwiden tax base.....introduced VAT in 1997, na kusimamia ukusanyaji wa kodi ipasavyo....Tshs 36bil 1995 kwa mwezi to more than Tshs 180bil 2005, issues za ujenzi wa miundo mbinu kama barabara etc

  Sasa huyu mkwere kazi ipo...sioni hata tangible moja imefanyika wakati wake!

  So kama una mashati mawili makuukuu (moja la JK na lingine la nkapa)na lazima uchague moja ulivae, basi hili la Nchee nkapa ni bora!
   
 19. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #19
  Apr 20, 2009
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  We are in agreement, na ninachoona ni deliberate attempts by various interest groups to smear Mkapa beyond recognition, ili any achievement isahaulike ibaki eti ya Kiwira etc, but JK and hs cronies are mistaken if they think by smearing him they are gaining popularity because they have not done anything zaidi ya scandal upon scandal! Na BTW hata policy wanazotumia ni zile za Mkapa.
  That is why I say i am ready to talk about Mkapa's sins but also his virtues as a leader lakini JK!! He is in a category of his own!
   
 20. Scientist

  Scientist JF-Expert Member

  #20
  Apr 20, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwakweli waTZ tulikosea sana kumpa madaraka ya urais huyu mkwere! Hakuwahi kuwa serious in anything kabla ya urais na bado kaendelea kuwa vile alivyokuwa! Cha ajabu bado kuna watu wanamuona eti aendelee kuwa rais kwa kipindi kingine kwa utaratibu wa utamaduni wa CCM... hizi ni fikra mgando!
   
Loading...