Girl Stuck in Elevator

Wacha mchezo hakuna kitu ninachokiogopa kama lifti. Kama safari yenyewe ni ghorofa hadi tano niko radhi kutumia ngazi!
 
Wacha mchezo hakuna kitu ninachokiogopa kama lifti. Kama safari yenyewe ni ghorofa hadi tano niko radhi kutumia ngazi!

lakini kwa aliyoyafanya huyo binti, je anastahili kushtakiwa au inabakia kuwa ni uzembe wa watu wa jengo kuchelewa kutoa support
 
lakini kwa aliyoyafanya huyo binti, je anastahili kushtakiwa au inabakia kuwa ni uzembe wa watu wa jengo kuchelewa kutoa support

Bila shaka ni uzembe wa wahusika. Kwanza kwa lifti za sasa zinakuwa na simu na kengele za kuita msaada jambo linalopelekea msaada kufika haraka. Unaweza kufa kihoro katika hali kama hiyo!
 
Sasa hiyo camera ndani ya lifti inafaida gani kama sio kwa ajili ya kuangalia usalama.....
 
Sasa hiyo camera ndani ya lifti inafaida gani kama sio kwa ajili ya kuangalia usalama.....

Lifti nyingi zinazofungwa kwenye lift huwa ni ndogo na hazionekani kwa urahisi na hata majengo mengi hapa mjini yana camera kwenye lift na hazionekani kirahisi kiasi cha kufanya mtu aliye ndani ya lift kutofahamu na hata wengine hufikia hatua ya kufanya vioja mbali mbali (mfaano:- ukiangalia kwenye youtube) labda hii ilipelekea binti kukata tamaa na hata ku-panic hatua iliyopelekea kuanza kuharibu mlango ingawa binafsi namchukulia huyu binti kama mwehu kidogo maana hatua aliyochukua nu kubwa kulingana na mda alionasa ndani ya lift.
 

Ninavyofikiri hizo camera should there be someone to watch out in case of emergency. Ni sawa na vile security officer akiwa anacheck screens za surveillance systems.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…