Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,502
Pole dada yangu mpenzi.Cheer up lakini maisha yenyewe mafupi haya si wajua...................
Asante kaka yangu, a little better now. Huwezi amini after two years nimewazia a glass of cinzano bianco. Nahisi kashetani kameanza kuninyemelea. LOL