Gilishoni Semaji lao

Kwani wewe ni ndio gilishoni?
Anaitwa Gerson Msigwa msemaji mkuu wa serikali.siyo mimi.

Mmekuwa na chuki dhidi ya watu kiasi cha kubadilisha hata jina liwe vile tunataka ni ujinga mkubwa.

Malezi ya roho mbaya tuliyopewa yametufikisha hapa.

Mtu kutoonekana kuna sababu nyingi Yule ni mtu ambaye ana maisha yake binafsi,anaweza kupewa au kuchukua likizo Kwa mujibu wa Sheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…