Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,599
- 1,798
Weka hiyo video hapa kwanza, tuanzie hapo.Kwa mawazo yangu nafikiri ana depression, ana tatizo kubwa la akili.. Kwa yaliyompata yeye na mwenzake Amberlulu, sikutarajia kama atajisifia kwamba ni muuzaji wa mwili..
Hivi karibuni pamekuapo na matukio ya kifedhuli kuhusiana na wasanii maarufu, na hao wanaonyesha kabisa ni wauzaji wa mwili, huku wakiishi fake life.. ni picha mbaya sana na mfano mbovu kwa kizazi Cha vijana wadogo..
Natarajia serikali ichukue HATUA Kali, isilikalie KIMYA hili. Gigy anarekodi video anajisifu anauza mwili, je ni mfano Gani anaonyesha wasichana wadogo ambao ni Taifa la kesho?? Mh. Dr Doroth Gwajima usilifumbie macho hili
Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Mkuu si uende X aka twita mbona zimejaa kule hapa mtu akiweka anapigwa ban gigy mane kachumishwa mchicha tembele mpaka kasema unanibakaaa mhuni bado haelewi,Weka hiyo video hapa kwanza, tuanzie hapo.
Ahaha yan yeye na amber ni makenge maji sana..mkuu utaino tu zimesambaa sana kwenye magroup ya whatsappWe usinambie 🤣🤣🤣🤣
Fanya mafekeche niione bhana bro
Tatizo mimi magroup niliyopo ya kilokole hawawezi kurusha 😂😂😂Ahaha yan yeye na amber ni makenge maji sana..mkuu utaino tu zimesambaa sana kwenye magroup ya whatsapp
Ukipata naomba niione na mmMwenye hiyo connection ya GIGY, share PM tafadhali [emoji120]
[emoji1]Tatizo mimi magroup niliyopo ya kilokole hawawezi kurusha [emoji23][emoji23][emoji23]
Nadhani wewe ndio unahitaji kusaidiwa Sex has always sold and will always sell inategemea unamuuzia nani au unafaidika vipi, labda ungesema kwa Sheria za Tanzania hilo ni kosa kwahio akithibitika anafanya hilo kosa sheria zitachukua mkondo wake (ila binafsi na matatizo ya hii nchi sioni kama ni busara kutumia our hard earned cash kushughulika na watu wazima waliofanya maamuzi yao wenyewe) Bora niishi na kina Gigy elfu moja waojali maisha yao kuliko wewe mfuatiliaji na mtaka kupangia maisha ya watuKwa mawazo yangu nafikiri ana depression, ana tatizo kubwa la akili.. Kwa yaliyompata yeye na mwenzake Amberlulu, sikutarajia kama atajisifia kwamba ni muuzaji wa mwili..
Unadhani sex imegunduliwa jana ? kama kijana wako mdogo role model wake ni Gigy nadhani wewe kama mzazi ulikosea sehemu na kama unadhani unaweza ukampangia kijana cha kufuata kama vile unavyonyonga mkono wa saaa nadhani haufahamu human nature..., Na cha maana ni kuwafundisha vijana wako right and wrong according to you ili wafuate na sio kuwaficha kwamba kuna mabaya yanafanyikaHivi karibuni pamekuapo na matukio ya kifedhuli kuhusiana na wasanii maarufu, na hao wanaonyesha kabisa ni wauzaji wa mwili, huku wakiishi fake life.. ni picha mbaya sana na mfano mbovu kwa kizazi Cha vijana wadogo..
Kama ingekuwa wanaofanya porn wanabadilisha wasichana wadogo wote wawe porn stars basi kila mtu angekuwa a porn actress.., these things are out there..., kama vile sinema za vita watu wanapigana risasi sidhani kama vijana wote watachukua bunduki kwenda kuwauwa wenzao...Natarajia serikali ichukue HATUA Kali, isilikalie KIMYA hili. Gigy anarekodi video anajisifu anauza mwili, je ni mfano Gani anaonyesha wasichana wadogo ambao ni Taifa la kesho?? Mh. Dr Doroth Gwajima usilifumbie macho hili
Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Nkwambie kitu tafuta mlokole mwenzio mjanja mjanja mwite inbox mwambie ndigu yangu niwezeshe atakuelewa mimi hiyo video nkiweka hapa wananitandika ban moja kwa moja, au nenda twiter wameziachia, kwani ukienda twiter nani atajua kanisani ? Nenda kakemee pepoTatizo mimi magroup niliyopo ya kilokole hawawezi kurusha 😂😂😂
Nipasie PM basi mkuu mboni tunanyimana hadi dhambi au mnataka Motoni muende peke yenu?Nkwambie kitu tafuta mlokole mwenzio mjanja mjanja mwite inbox mwambie ndigu yangu niwezeshe atakuelewa mimi hiyo video nkiweka hapa wananitandika ban moja kwa moja, au nenda twiter wameziachia, kwani ukienda twiter nani atajua kanisani ? Nenda kakemee pepo
Njoo dmHiyo clip ya Gigy Money inayojadiliwa mbona haipo humu?Sasa nijadili nini kama sioni kinachojadiliwa?
Bro kuna baadhi ya watu maisha yao ndio yameumbwa kuwa hivyo. Utapoteza tu muda.Kwa mawazo yangu nafikiri ana depression, ana tatizo kubwa la akili.. Kwa yaliyompata yeye na mwenzake Amberlulu, sikutarajia kama atajisifia kwamba ni muuzaji wa mwili..
Hivi karibuni pamekuapo na matukio ya kifedhuli kuhusiana na wasanii maarufu, na hao wanaonyesha kabisa ni wauzaji wa mwili, huku wakiishi fake life.. ni picha mbaya sana na mfano mbovu kwa kizazi Cha vijana wadogo..
Natarajia serikali ichukue HATUA Kali, isilikalie KIMYA hili. Gigy anarekodi video anajisifu anauza mwili, je ni mfano Gani anaonyesha wasichana wadogo ambao ni Taifa la kesho?? Mh. Dr Doroth Gwajima usilifumbie macho hili
Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Hawawezi mods nao wanataka kusafisha macho 🤣🤣🤣🤣Nkwambie kitu tafuta mlokole mwenzio mjanja mjanja mwite inbox mwambie ndigu yangu niwezeshe atakuelewa mimi hiyo video nkiweka hapa wananitandika ban moja kwa moja, au nenda twiter wameziachia, kwani ukienda twiter nani atajua kanisani ? Nenda kakemee pepo
Mzee kapelekewa moto 😁Hizo Video ziko wapi? Au nyinyi ndio mna depression?
Fungua pm sasa uoneHawawezi mods nao wanataka kusafisha macho 🤣🤣🤣🤣