Nimegundua ngoma huanza kwa steps ndogondogo, mauno ni mbele huko mikito inaponoga.Peace,
Gigy money "Mimi siwezi kufoka wala kutukana, maumbile yangu hayaniruhusu" Baada ya miaka miwili "nye nye STUPID"
Hivi uligundua jambo gani hapa
Mzee wa tunduma uko kwenu hakuna wa kina gigy? 🤣🤣🤣Huwezi kumsaidia mtu ambaye hajisaidii. Hawa wasanii wana matukio mengi sana ya kishenzi ambayo mengi hayapostiwi. Gigy abebe msalaba wake na kama anataka kujinyonga afanye hivyo kwa haraka. Serikali imkamate yeye na huyo mwanaume wake watandikwe mvua kadhaa ili iwe fundisho kwa wengine.
na mikito ikinoga miguso hushamiri mpaka kutoka kwenda kunako ni miguno na kuhemea juu juu.Nimegundua ngoma huanza kwa steps ndogondogo, mauno ni mbele huko mikito inaponoga.
Peace,
Gigy money "Mimi siwezi kufoka wala kutukana, maumbile yangu hayaniruhusu" Baada ya miaka miwili "nye nye STUPID"
Hivi uligundua jambo gani hapa
Mwendazake hapo mwisho si ndio!mpanaa arabuni maza kujifanya mwema jangwani nzi na mbu wengi kujikosha basi chawa shangwe, jioni ndindi asubuhi mchana si ndio yakarudi yale yale yangu zakenimwenda
ni kweli arabuni tende uswazi supu ya mkia ila mantiki ya kujikosha na kujigrade hakuna jipya ni roporopoka mule mule au hata zaidiWe jamaa fala sana...
Kwa sisi wa Cuba Tumeelewa lakini Si kashamchomoa mfanyakazi wake jana aliyefanya uchokozi
Basi mkuu yaise, nimepotea njiampanaa arabuni maza kujifanya mwema jangwani nzi na mbu wengi kujikosha basi chawa shangwe, jioni ndindi asubuhi mchana si ndio yakarudi yale yale yangu zakenimwenda
haswaaaa samaki harudi rivasi sasa Gigy akataka kuikosoa nature matukio karudi mule mule, awali wenge sana alitaka aonekane guardian angle abadani kweli limao kwa maziwa kuganda mubashara.Kiufupi Gigy money amejikita sana katika kutaka huruma za Watu na jamii kwa ujumla watu wamuonee huruma (Public sympathy) ila kiukweli hakuna Mwanamke anakosa maovu kama uliyotaja mwanamke kaumbwa kuwa hivyo kujiona bora pale anapopewa nafasi...
Japo namshauri kuwa Mwnzoni hakuwa sahihi maana alitaka kupingana na nature ila kwa sasa yuko sawa
😂😂Sasa hapo kimemparura mpaka kuita watu wote hao,, aisee kweli wadada toleo jipya😂😂😂 Si nimekwambia yani humu wadada toleo jipya hawaji kuisha ni kipindi chao.
Hata uwapige spana kazi bure
Akuitia nyuki wakuume 🤣🤣🤣😂😂Sasa hapo kimemparura mpaka kuita watu wote hao,, aisee kweli wadada toleo jipya
😂😂😂Wanapenda vile tunapewa attention nao wanataka, halafu kuna sehemu jana nilimtetea hiyo imbwaa,, kwa sauti ya yule mcongo aliyemchamba mangi 😂😂Akuitia nyuki wakuume 🤣🤣🤣
Halafu haijifichi iko live
Wanawake tunahujumiwa sana!! Yani kila kona wanaume wanataka wawe km sisi.
Nilikuona nikasema huyu kumbe hamjui huyu ndo wale wale 🤣🤣🤣🤣😂😂😂Wanapenda vile tunapewa attention nao wanataka, halafu kuna sehemu jana nilimtetea hiyo imbwaa,, kwa sauti ya yule mcongo aliyemchamba mangi 😂😂
Ni mimi. Nimetoka Church hapa TAG. Naomba unisamehe bro, yalishapita. Tusameheane bro leo duniani na kesho ahera.Mkuu nahamu sana nijue alipo.kila.nilie soma nae tukikutana nikimuulizia flani yuko wapi hawajui.. sijui ashakufaga ila naomba sana isiwe hivyo mpaka nikutanishwe nae.
Kabla ya 24 hrs kimenipata kiukweli kimenishuka shuuu😂😂Nilikuona nikasema huyu kumbe hamjui huyu ndo wale wale 🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂 Hao hujawajua vizuri kumbe!!Kabla ya 24 hrs kimenipata kiukweli kimenishuka shuuu😂😂
Ila wanawake tuna huruma kha!Msemaji kapewa kinyonyo anakinyonya dunia hii🤣🤣🤣🤣
Semaji kajifanya kama mtoto vile 🤣😂Ila wanawake tuna huruma kha!
Hivi nguvu ya kumchomekea nyonyo mdomoni semaji wanaitoa wapi?! 🤣🤣🤣🤣
Hao wadada ipo siku watang’atwa 🤣🤣🤣Semaji kajifanya kama mtoto vile 🤣😂
🤣🤣🤣KabisaHao wadada ipo siku watang’atwa 🤣🤣🤣
Na yale meno km kaswakia mchuzi wenye binzari 🙌