Gigy Money asaidiwe

Jaribu kumtag Mhe. Waziri. Kuhusu kuharibu maadili ya wanawake, maadili yashaharibiwa kitambo sana kupitia Bongofleva, yeye ni product tu.
Wewe umeumia sana, ila je wewe pia ni Mtakatifu?
Hakuna aliyekamilika chini ya jua hivyo siwezi kujiita mtakatifu... Lkn Gigy anahitaji msaada, ukimtazama vizuri ana maumivu makalio moyoni... Asaidiwe kisaikolojia. Pili ukahaba haujarasimishwa hapa nchini kwetu, HAWEZI kujinasibu hadharani eti anauza mwili... Vijana wadogo ambao humchukulia yeye kama role model haswa ukichukulia msaini ni kioo Cha jamii, wataona kuuza mwili ni njia rahis ya kupata mafanikio.... Pia namwombea sana mwanae asikutane na hizo video mamake akijisifia ujinga

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Jambo la kula Ugali kwa Picha ya Samaki wanaweza ndugu zetu Wapare tu.

Yaani hadi nafikia Comment ya 211 hakuna cha Video wala hiyo Connection yenyewe πŸ™Œ
 
Asaidiwe au achukuliwe hatua? Kuna watu wanaohitaji kusaidiwa lakini siyo huyu kahaba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…