Giggy Money: Nampa papa

LUBEDE

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
4,322
Reaction score
6,700
hatimaye Gigy Money awa mwanamuziki,ameimba wimbo mzuri sijui nani kamwandikia
tuburudike huku tukitoa maoni kwa jinsi kila mmoja alivyouchukulia huu wimbo,binafsi nimeupenda,nimetumia kanuni ya WAHENGA kuwa mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni...
 

Attachments

Uyu dada nayule mwingine kama kichaa kichaa anajiita amberlulu wakiamua kufanya huu mziki wa sasa wa bora liende watafika mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…