Gidabuday ana jipya kwenye mbio za nyika?

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,556
25,334
Tunaomba matokeo ya mashindano ya mbio za nyika yanayofanyika nchini Uganda ili tujue tambo za katibu mkuu wa chama cha riadha nchini ndg. Wilhelm Gidabuday zilikuwa na uzito gani.

N.B. aliahidi kuchana vyeti ikiwa atashindwa kuipatia medali nchi yake akiwa kiongozi.

Naomba kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom