Gianni Infantino aukwaa urais FIFA

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,371
2,377
Hatimae mgombea wa kiti cha Uraisi wa FiFA mtaliano Gianni Infatuno ashinda uchaguzi baada ya marudio ya round ya pili muda mchache uliopita
 
Uingereza Itafurahi sana utafikiri watachukua Ubingwa wa Dunia...
 
Uingereza Itafurahi sana utafikiri watachukua Ubingwa wa Dunia...
ImageUploadedByJamiiForums1456507625.046538.jpg
 
Rais mpya wa FIFA ni Gianni Infantino kwa kura 115 akifuatiwa na Khalifa aliyejizolea kura 88
 
Hongera zake na ni matumaini yetu pia rais wetu Jamal Malinzi atakaporudi basi atatupa mrejesho wa kilichojiri maana walituambia CAF walikua wakimuunga mkono yule mwana mfalme wa Jordan! sasa kulikoni ameangukia pua! au kwa kuwa hiyo fifa ni ya wazungu wenyewe?
 
Duh, ina maana Afrika, Asia, na America ya kusini ni masnitch eeh! Dah! Yule mwarabu kachinjwa, sasa hapo Blatter ka anaendelea kimtindo! Europe bhana!

Kuna article nilisoma wakawa wanasema yule mwarabu ana possibility kubwa ya kushinda...
Nashangaa nae chali
 
54 members wanatoka Africa, ukiunga na Asia utapata 88. Blatter aliendekeza sana rushwa kumbuka akina Ndolanga walivyopata sana ulaji sababu ya pesa ya Blatter nani anaweza ulizia pesa ya FIFA labda hujipendi. Watoa pesa ulaya na nchi zilizoendelea wameamua inatosha basi. Credibility na transparent ndo itasaidia michezo Africa siyo ufadhili tu sababu pesa zinaletwa zinapokwenda mnajua wenyewe.
 
Hii inanikumbusha pale idodomya; kama mmemkata EL; basi na BM hapiti! FIFA wazungu wakasema kama amekatwa Sep basi mwarabu hatoboi! Futzbal mafiosi at work! Pole zake Salman!
 
Back
Top Bottom