Ghost phase kwenye maisha ya mwanaume

Noma sana, watu wananipa hasira sana, sema ndo vizuri maana ninazihamishia kwenye kutafuta pesa. Ili wakija kulia shida nibawakatalia makusudi walalamike. Situmii nguvu tena juu yao, wanajiumize wenyewe kudadeki
Mim hili nalijua kitambo, kama kusaidia wee saidia kwa kiasi chako na wala usisaidie kwamba umewekeza akiba ya shukuran baadae. Wee saidia pita hivi endelea na mambo Yako halafu funga shobo yani usizoeleke kirahisi maana masikini wanatabia ya kuambizana "kwa furani zungu ni sim Moja tu muamala inaingia"
 
Binadamu ni nyoko kbsaa
 
Hahaha
Hongera sana
 
Hahahahaaa nzi wakiona kinyesi. Wanaitana balaaaa
 
Nina miaka 4 Tangu kumaliza chuo, Sijaenda homme, Siwasiliani na ndugu yeyote isipo kua mama na kaka zangu wa 2, nao ni mara moja moja saana kwa sababu they all give negative Energy.

Hii imenisaidia mambo mengi. Ikiwa ni pamoja na kuiaminisha akili yangu kupambana kivyangu vyangu kama sina ndugu.
 
Kwani siusome comment aliyo ijibu ilikuwa na maudhui Gani !
Nimekupata, nimeelewa na muktadha nzima ya hiyo statement na posts zingine

kuna mzee mmoja amesaidia sana watu kielimu tena za gharama sana ikiwemo na mimi mwenyewe, ila kukweli kwenye uzee wake kati ya wote wa aliowasaidia ni wachache sana tupo nae na familia yake.

Nilichojifunza kujitoa sana nakusaidia kunahitaji umakini sana. Maana ukija kushuka uliowawezesha wakasimama ni kama hutawaona kabisa.
 
Mada kama hizi ndo za kujadiriana....



Hata kama hujaoa....wanawake wa kuoa wanakuja wao wenyewe..... Huko inbox


Cc. Poker
Nasikiaga jf kuna mashangazi tu ambao wapo kwenye stage ya kutafuta retirement plan. Ingawa sina uthibitisho wa hilo lakini kuna namna huwa naona ni narrative ya kweli. Kwa sababu ukigusa vipengere vya bikira, body count na single mother, jinsia KE wengi hapa jf wanakua wakali kweli kweli.
 
Kwamba utamwita Natafuta Ajira? 😀😀😀
 
H

Hii point muhimu sana,at the end everything is about to love and be loved-ukiokosa hii utahisi huna maana hapa dunianil.
Mwanaume usiwe obsessed sana na suala kutaka kupendwa. Sio vibaya kupendwa lakini sio jambo la lazima kiasi cha kusahau kwamba mwanaume upo peke yako hapa duniani. Hakuna mwanamke wala mwanaune mwenzako anaepambana ili aje kukuokoa kimaisha

As a man just fight to be a man no one can ignore. Masuala ya kupendwa waachiwe watoto na wanawake. As a man know that only children and women enjoy unconditional love. You will be only loved on condition that you're able to provide and protect. So work smart and protect your energy and resources.
 
Reactions: Nus
Andiko zuri ila semeni kweli kuna muda kweli unakua huna girlfriend wala mchepuko? Wanaume nyie nyie?
Ukiwa kwenye ghost phase, girlfriend ni liability. Kwanza atakupunguzia energy, focus na resources chache ulizonazo. Pili, wanawake hawana kifua cha kutunza siri kwaiyo ukiwa kwenye covert mission epuka ukaribu na mwanamke maana katika kulopokalopoka sijui ndio mnaita ubuyu anaweza kutoa mpango wako wa vita haters wakautumia kukukwamisha.
 
Keep pushing, your time is coming. Ingawa mama jitahidi kumzoea tu. Unapopata muda mcheki kumjulia hali mara kwa mara. Sometime kuishi na wanawake inabidi uchukulie kama unaishi na mtoto mdogo. Kumbuka huyo ndie mwanamke pekee mwenye upendo wa bure kwako hapa duniani kwaiyo lazima atakua na stress za kutojua kinachoendelea kwenye maisha yako
 
Mada ni nzuri na iko sahihi, ila sio kwa wanaume pekee, hii ni kwa watu woteee.

Hiyo Comebacks inarembwa sana, huwa ni UNAFIKI.
wala hakuna kuficha ficha hapa. Lol
Haujasoma title ya thread imelenga wanaume?. Huwa nashangazwa sana na nyie ambao mnataka mimi nibalance mzani wakati mnajua fika maandiko yangu yanalenga kumsanua kijana wa kiume.

Kama mnaona mimi siandiki kuhusu upande mwingine basi andikeni thread nyie kuhusu huo upande ambao mimi siuangazii. Sio lazima mimi niandike kila kitu.
 
Maisha yamenirudisha katika hii phase kila kitu kimekuwa kama ulivyosema ila hili la kutokuwa na mwanamke wa kupunguza uzito hili ndo bado mpaka sasa linanitatiza najiona siwez

Nina miez 6 sasa kwenye nyakati hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…