Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 12,130
- 33,514
Kwenye maisha ya mwanaume kuna wakati unafika hauna girlfriend, hauna mchepuko, una marafiki wachache sana au hauna marafiki kabisa. Maisha yako ni wewe tu mapambano yako ya kujitafuta. Hicho kipindi kinaitwa Ghost phase. Ni nyakati ambazo zimewatengeneza wavulana kuwa wanaume.
Kama bado huu kijana unaepambana kutengeneza maisha yako especially kama upo 20's mpaka early 30's. Basi unahitaji kuapply ghost mode.
Zifuatazo ni dondoo muhimu za ghost mode.
1.Kubaliana na ukimya.
Siku za kwanza za ghost mode zitakua ngumu kidogo. Hakuna anaekutext, kupigia wala kukujulia hali. Hata kwenye group whatsapp hakuna charts. Waliokua wanacheka memes zako wote kimya, hapa ndipo unagundua ulikua burudani tu kwa watu wakiwa bored. Ukimya unaweza kukuumiza lakini ni dawa itakayokunyesha wewe ni nani wakati hakuna anaekuangalia.
2.Tengeza mkakati wa kivita.
Haupo hapo ghost mode ili ushinde unacheza play station au unaangalia movie tu geto. Unaingia ghost mode kujitengeneza upya, kwaiyo unahitaji mkakati.
-una vision gani
-una mission gani
-mambo gani uyaache
-mambo gani uanze kuyafanyia kazi n.k
Tengeneza mkakati wako kama mkuu wa majeshi anaejiandaa na vita
3.Fitness ya mwili wako iwe kipaumbele.
Kimbia, kama uwezo unaruhusu nenda gym, kama ball linapanda nenda ground kazungushe. Kunywa maji ya kutosha. Kuwa makini na uchokula, junk food na soda achana nazo. Pata muda wa kutosha kulala n.k
4.Achana na mahusiano.
Kubaliana na ukweli kwamba kwenye ghost phase wanawake ni liability. Block out the lust, mute the flirts. Stop chasing cheeks and start chasing your dreams. You're a man on mission, stop simping. Build up and when you return you won't chase. They will apply and not all will be approved.
5.Tengeneza ujuzi na pesa kimya kimya.
Jifunze coding, mauzo, elimu ya fedha, uwekezaji au kitu chochote kitakachokutengenezea hela. Tafuta hela na ufanye hivyo kimya bila kelele. No post, no flex. Just deposits.
6.Jifunze kila siku.
Chochote unachoamua kukifanya akikisha kila siku unajifunza kitu kipya. Sikiliza mijadala inatayokufanya ujione mjinga, hiyo ndio mijadala itakayokukomaza akili. Unplug yourself from tiktok and gossip. By the end of ghost mode no woman, no enemy, no situation will break your peace.
7.Achana na drama za kijinga.
No online beef, no arguing with boys, no gossip no cloud chasing. Drama is cheap, your vision is expensive.
COME BACK
Ex wako atawaambia watu ulikuaga boyfriend wake, haters watajifanya hawakuwai kutilia mashaka uwezo wako, marafiki wa zamani watakutext "kaka ulipotea". Don't explain, don't flex, don't post photos of your glow up. You owe no one approve.
Cut distractions and focusing on yourself. No drama, no noise just relentless work on your goals. That phase sets up biggest comebacks and lasting success.
Don’t be a simp.