Ghorofa linawaka moto sasa hivi

Ghorofa linawaka moto sasa hivi

Chademondus

Senior Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
177
Reaction score
39
Waliopo karibu tunaomba mtujulishe hapo kariakoo kuna habari nimezipata kuwa Ghorofa moja linawaka moto.
Tafadhali mliopo karibu tunaomba mtujulishe
 
Ni Kariakoo mtaa wa Mahiwa. Lakini zimamoto wamefanikiwa kuudhibiti.
 
Kwa mujibu wa mtoto aliyeshuhudia tukio hilo, anasema aliwaona watu wamekuja na gar then wakarusha kitu ndipo moto ukalipuka, na wao wakatimua mbio? Hivyo tusubiri FBI wakiingia watachora katuni fasta na tutawapata
 
Hivi ni kwamba hakuna mtu eneo hilo akatupia picha? :angry:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom