Kwa mamlaka husiku.
kuna gorofa inajengwa sinza mpakani karibu kabisa na ukumbi wa princess hall sinza mapambano
katika uchunguzi wangu niliofanya. Wazo la awali lilikua ni kujenga guest house pamoja na executive bar. Ujenzi ulipofika kwenye linter wazo lilibadilika na kuwa jengo la ghrofa moja na tayari ujenzi wa ghorofa ya kwanza umeshaanza kufanyika.
swali kwanza kujiuliza lilikua je kuna kibali cha ujenzi. Nimejitahodi kuchunguza sijafanikiwa kupata.
swali pili nijauliza je mkandarasi ni nani na mbona hajaweka bango kama sheria inavyomtaka nikaambiwa sio kampuni bali ni mafundi tu wa mtaani wenye uzoefu wa kutosha.
lilinisukuma kuandika haya ni ule uamuzi wa kuamua kujenga ngorofa badala ya jengo la kawaida bila kuwa na uhakika wa foundation yake inaweza kuhimili uzito wa jengo hilo. Lakini zaidi jengo litatumika kama club/Bar hivyo litakua na watu wengi je likiporomoka si kiama.
sehemu ilipo ukifika mapambano elekea upande ilipo mapambano health center au Double View Hotel upande wa kulia utaona Bar inaitwa friendship pub FP. Jengo linajengwa nyuma ya hiyo pub wamiliki wa pub wanaitwa CHAMAU na ndio wahusika wa ujenzi huo.
Ombi: tunaomba mamlaka husika wizara ya makazi, manispaa ya kinondoni, ERB, etc wakague eneo husika na kama vibali vyote vipo viwekwe hadharani kama sheria inavyotak.
responsible citizen