Ghorofa la aina yake

Mh...hata kama INNOVATION ni too much
 
Ushahidi wa kisanyasi unaonesha Afrika ndio binaadam wa awali sana kupatikana mabaki cha kusikitisha kuwa Afrika hiyo hiyo ndiyo binaadam tusio na akili kabisa. Sijui ni uzee wa genes zetu?
 
Hilo linajidhiilisha hata kwa wale tunaowapa mamlaka ya kuendesha serikali zetu.
 
"linajidhiilisha" = linajidhihirisha

Huyo ndio Mwaafrika hata lugha yake ya Taifa haijui vizuri, halafu atabishana na watu kuwa ana akili timamu.
 
ulimi uliteleza lakini ujumbe umefika, vp mama bado uko pale kwenye kile kibanda chako?
 
Ushahidi wa kisanyasi unaonesha Afrika ndio binaadam wa awali sana kupatikana mabaki cha kusikitisha kuwa Afrika hiyo hiyo ndiyo binaadam tusio na akili kabisa. Sijui ni uzee wa genes zetu?
Tumezidi uvivu wa kufikiria...mtu yupo radhi akae akitazama ukuta kuliko achukue kitabu asome
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…